Marashaaa95
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 848
- 724
Uweee unatupia na picha mkuuDLS nimeshinda elite division, nimeshinda international cup,nimeshinda international all stars cup,wameona huyu jamaa ni sheedah wakaamua wanipangie kikoc changu kilekile yaan DRM FC VS DRM FC NIMEWACHAPA,yaan mpka raha mwenda wa wazimu mane na Sanchez ndo wanao nifanya nifanye hvii
Nili screen shot kumbe nilijua imekubali kumbe ilikuwa imekataa ,,next time nitahakikisha ime attachUweee unatupia na picha mkuu
bila shaka ww ni mhayaNunueni play station3 au XboX 360 acheni ushamba wa game za simu
hii option ndio naitaka lkn nashindwa kuunganisha nipe darasa mkuuCheza mulplayer.. Tukutane timu yangu inaitwa tanzania
Amna cio mhayabila shaka ww ni mhaya
utakuwa umedownload apk ya 4020 na hapo unaforce data za 4040 utakesha. umedownload wapi hilo game?
nitakutafutaCheza mulplayer.. Tukutane timu yangu inaitwa tanzania
utakuwa umedownload apk ya 4020 na hapo unaforce data za 4040 utakesha. umedownload wapi hilo game?
nitakutafutaCheza mulplayer.. Tukutane timu yangu inaitwa tanzania
Baadhi ya rekodi nazoziweka kwa sasa ni hizo mkuubila kujari hali ya hewa ya Barafu nimemtandika vinne safiiii![]()
Mimi wamekuja pia nimewazabua zakutosha wanasema fellow manager ana jealous kaja kichwakichwa kachezea tanoDLS nimeshinda elite division, nimeshinda international cup,nimeshinda international all stars cup,wameona huyu jamaa ni sheedah wakaamua wanipangie kikoc changu kilekile yaan DRM FC VS DRM FC NIMEWACHAPA,yaan mpka raha mwenda wa wazimu mane na Sanchez ndo wanao nifanya nifanye hvii
Hawa walinisumbua kidogo ila nao walikaaDLS nimeshinda elite division, nimeshinda international cup,nimeshinda international all stars cup,wameona huyu jamaa ni sheedah wakaamua wanipangie kikoc changu kilekile yaan DRM FC VS DRM FC NIMEWACHAPA,yaan mpka raha mwenda wa wazimu mane na Sanchez ndo wanao nifanya nifanye hvii
Kama hivi ni mechi ya pili Real Madrid kalambwaDLS mpka raha saiz elite division full kuwachapa tuu mwanzo wa league mpka mwisho
Mkiu naona we unacheza ushabiki tuu hahahhahahaha Messi umemuweka defender hehheheheheCheki Macoin ya Kumwaga.
![]()