Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,070
- 43,513
umesoma site ulio downloadia ni mod ya nini?Mkui samahan kwa usumbufu, hili mbona halina chochote
umesoma site ulio downloadia ni mod ya nini?Mkui samahan kwa usumbufu, hili mbona halina chochote
ulipata kitu kama hiki?Nimedownload kwenye hiyo link ulioweka hapo
Chief nataka nipande daraj kweny dream league soccer, MBONA mda wote nacheza division 3 tuu?umesoma site ulio downloadia ni mod ya nini?
Naomba msaada wako nipande daraja kweny DLSOK,thereafter nirud kweny app ya DLS niifungue ninunue coin?
Hapo kwelii, maana mimi nimechukua makombe yote kwenye hiyo game Aisee, team azina upinzani wa kwelii mpaka naisi wachezaji wao wamekula RushwaMkuu ili game ni lizuri ila jepesi sana akuna team yoyote inayonipa upinzani huko
Tuwekee links tudownload mkuuKuna game zuri la mpira FTS ili ni kama fifa unaweza ukawa manager, player ukahama timu to timu, ukafukuzwa kazi angalau lina uhalisia kuliko dream soka
Kuliistall link paka utoe youtube udownload zip file playstore then uextract lina process kidogo
jenga uwanjaChief nataka nipande daraj kweny dream league soccer, MBONA mda wote nacheza division 3 tuu?
Bt tatizo coins tuJenga uwanja Mie kwa siku 3 nmejenga hivyo na nipo Division 1 nakaribia
Kwenda junior elite na uwanja wangu unachukua 60000 m![]()

Unapotumia mesej ya Ku upgrade stadium inabd niclick ?Jenga uwanja Mie kwa siku 3 nmejenga hivyo na nipo Division 1 nakaribia
Kwenda junior elite na uwanja wangu unachukua 60000 m![]()
Hapo ndo hata mm pananipa shidaBt tatizo coins tu![]()
![]()
![]()
Baada ya kucheza division 3 mpka mwisho? Ndo nijenge uwanja then nitaenda next stage?jenga uwanja
jenga kwanza kabla ligi haijaisha, kila daraja kuna idadi fulani inatakiwa uwe umeifikisha. unaingia daraja la ngapi?Baada ya kucheza division 3 mpka mwisho? Ndo nijenge uwanja then nitaenda next stage?
Division 2 inabd uwanja uwe na capacity ya 30,000jenga kwanza kabla ligi haijaisha, kila daraja kuna idadi fulani inatakiwa uwe umeifikisha. unaingia daraja la ngapi?
yah jenga hadi hio idadiDivision 2 inabd uwanja uwe na capacity ya 30,000
Kuna message huwa inakuja ukifikisha idadi ya game flani kuplay so unaweza ukaweka automatic upgrade au manual upgrade uwanja wako.Division 2 inabd uwanja uwe na capacity ya 30,000
Shukran na je ukijenga mwishon baada ya kumaliza mashindanoKuna message huwa inakuja ukifikisha idadi ya game flani kuplay so unaweza ukaweka automatic upgrade au manual upgrade uwanja wako.