sababu ni la bure lazma kutakuwa na in app purchase hivyo tegemea vi coin viwepo mkuu, ila kama ni la offline zitachakachulika tu.mkuu isije ikawa kama lile pes club manager una hustle kupata vicoin
Pole sana kiwango bado kidogo aseeee[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
YEREWIIIIIIIII MBONA DIVISION 3 HIYO LETA BIG RESULT YA ELITE DIVISION KAKA
Kama ni ELITE DIVISION nakupa Salutee Bt kama ni hivyo vi division vya kitoto sijui division 3 nakukaribisha ELITE DIVISION kwa wakubwa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]kunyanyua kwapa tu[emoji23][emoji23][emoji57]![]()
Ni elite divisionKama ni ELITE DIVISION nakupa Salutee Bt kama ni hivyo vi division vya kitoto sijui division 3 nakukaribisha ELITE DIVISION kwa wakubwa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Njoo nimalize kukuelekeza leo lazima uchakachue coins, rudi pale nilipo kuelekeza mwanzo utaona nimefanya mabadiliko na picha nikaweka mkuu lengo ufurahie uchakachuaji wa coinsNmelidownload mkuu na nimecheza kama game mbili ili nkimaliza hii process ndo linakuwa halifunguki kbs
Mkuu safihaya anaejua alipe 28-0 elite divsion
![]()
Kawaida Tuu nduguYEREWIIIIIIIII MBONA DIVISION 3 HIYO LETA BIG RESULT YA ELITE DIVISION KAKA
Kiwango chako bado mkuu yaani hapa wewe bado unacheza ligi daraja la tatu na wigan na wengne wengi pambana uje huku elite d