Apk ya Dream League soccer 2017

Apk ya Dream League soccer 2017

Maana pamoja na kwamba sina coin za wizi lakini naweza fanya objectives zote zikaenda vyema kutokana na uwezo halisi wa timu yangu yenye ushindani mkubwa
Kikosi kazi chenyewe ni hiki hapa
 

Attachments

  • 1495716255091.png
    1495716255091.png
    196.6 KB · Views: 60
  • 1495716278441.png
    1495716278441.png
    187.6 KB · Views: 61

Attachments

  • 1495718755441.png
    1495718755441.png
    131.1 KB · Views: 53
  • 1495718783424.png
    1495718783424.png
    221.9 KB · Views: 55
  • 1495718810028.png
    1495718810028.png
    148.9 KB · Views: 53
Na miongoni mwa mechi nazopotezaga au kutoa droo ni katika hali hii ya barafu sa ingine mpira hufanana na mabonge ya barafu
Ni kweli kabisa mkuu naungana na wewe katika hilo. Hali hii (ya barafu) kushinda ni mara chache kuliko kupoteza au kutoa droo
 
Mi hii hali ya hewa ya barafu akinifunga goliiii moja tu nadhira,Mpira auchezeki aiseeee,nakuwaga mtazamaji mpaka dk 90 ziisheee
Mkuu unakuwaje mtazamaji?usiombee uwe mtazamaji halafu umekutana na Arsenal, PSG, Atletico au Chelsea bora ukubali kuquit mechi upoteze coin ucheze mechi nyingine maana inaruhisiwa
 
Ile barafu ni habari nyingine sana,nadhani waliiweka kwa makusudi maana sijaiona sehemu ya kubadili hali ya hewa zaidi ya kubadili jezi (home and away)
Niliipendaga sana game ya REAL FOOTBALL kwenye Nokia button kwa zile sifa zake za kubadilisha hali ya hewa,jezi,rangi za mipira na nyavu n.k
Lilikua Bonge la game kwa vilongalonga vya button
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom