Apk ya Dream League soccer 2017

wakuu mbona langu limegoma linaniandikia hiv
Hapo hakikisha nafasi kwenye simu yako ipo pia bando iwe vizuri then unaweka ok itaendelea kudownload lakini ni vyema zaidi ukitumia WI-FI kudownload kama utaweza
 
Hapo hakikisha nafasi kwenye simu yako ipo pia bando iwe vizuri then unaweka ok itaendelea kudownload lakini ni vyema zaidi ukitumia WI-FI kudownload kama utaweza
Nimefuta vitu nafsi bado imekata
 
Nimefuta vitu nafsi bado imekata
Kwa kawaida huwa inaandika kiasi cha nafasi inayohitajika kwahiyo unaweza kuangalia na kubalance ukiona inakuwa shida kwamba kuna apps za muhimu zitapotea basi unabaki tu na ile ya 2016 mkuu
 
DLS mpka raha saiz elite division full kuwachapa tuu mwanzo wa league mpka mwisho
 
Attachments

  • Screenshot_2017-05-27-22-50-08.png
    448.3 KB · Views: 56
Asanteni sana ndugu zangu.Nimeliweka jana hili game,nikaroot simu kisha nikaweka LUCKY PATCHER.Asee leo nimehack coin hadi 1000000.
Nimeshinda ligi kwa kushinda mechi zote na draw moja tu.Nimeshinda pia GLOBAL CHALLENGE....
asanteni wakuuu
 
akuna ambae kasha cheza Wi-Fi hili game?
 
DLS nimeshinda elite division, nimeshinda international cup,nimeshinda international all stars cup,wameona huyu jamaa ni sheedah wakaamua wanipangie kikoc changu kilekile yaan DRM FC VS DRM FC NIMEWACHAPA,yaan mpka raha mwenda wa wazimu mane na Sanchez ndo wanao nifanya nifanye hvii
 
Asanteni sana ndugu zangu.Nimeliweka jana hili game,nikaroot simu kisha nikaweka LUCKY PATCHER.Asee leo nimehack coin hadi 1000000.
Nimeshinda ligi kwa kushinda mechi zote na draw moja tu.Nimeshinda pia GLOBAL CHALLENGE....
asanteni wakuuu
Cheza mulplayer.. Tukutane timu yangu inaitwa tanzania
 
Nimedownlodd kwenye play store browser kote imegoma
pengine ni issue za permission jaribu kugusa hio notification halafu allow itumie mobile data, ikikataa kabisa itabidi udownload manual,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…