ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,476
- 9,654
Nawezaje kuhack kupata hzo Coins?!Cheki Macoin ya Kumwaga.
![]()
Nawezaje kuhack kupata hzo Coins?!Cheki Macoin ya Kumwaga.
![]()
Asphalt 8Hivi ni game gani lingine kutoa hili ni zuri kwa simu za android hasa ya offline.?
Tatzo la haya maApk bhana yanazingua kwenye kuExtract maObb cjui nn, shida tupu...lina apk yake wameimod kwanini usieke hio kila kitu unlimited.
Hapa raha ya game ni nini sasa. Raha ya game ni hizo challenge ili uumize kichwa.unakuwa hueki game kupitia playstore, unainstall apk na data online then unapoanza game kila kitu umefanyiwa, mfano hii ina god mode unakuwa invicible hata usimame mbele ya adui akikushoot hufi
Modern Combat 5 Blackout apk full v2.5.1a + data + mod
inategemea na aina ya game, kuna games mpaka ucheat ndio unalimaliza 100% bila kucheat haliishi.Hapa raha ya game ni nini sasa. Raha ya game ni hizo challenge ili uumize kichwa.
Nam nimejifunza meng sana sasa najifunza kujenga uwanjaa





jenga tu mamaa




NAWAPIGA KAMA SINA AKILI NZURI









Ukishindwa yote hayo kuna njia simple kupata coin, yani washa data hakikisha upo online then angalia clips kwa kubonyeza show video kinakua kwa chini kushoto hapo mbele ya page ya game kila video ina 30 coins!!..Hapo ndo hata mm pananipa shida
Kila ukicheza game 15+ (game zima lina mechi 18) inaanza kukuomba jenga uwanja ili uwe promoted ushauri wangu ukilianza game we zikusanye coins mpka 5,000+ hapo unaenda unajenga uwanja kwa hela yote thn ukimaliza unacheza bila stress!!..Kuna message huwa inakuja ukifikisha idadi ya game flani kuplay so unaweza ukaweka automatic upgrade au manual upgrade uwanja wako.
Weee jamaaaa uliipiga BARCELONA Mie alinipiga 5-2 kwenye ELITE![]()
![]()
Kazi inaendelea na coins za kumwaga






