StraTon MemPhis GhaZar
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 592
- 386
Ngoja nihangaikie ujue... s4 sumsung nashndwa kupigaga screen shoot wait nitafute apps rahis ya kucapture screenshortTupia screenshot tuone
Ngoja nihangaikie ujue... s4 sumsung nashndwa kupigaga screen shoot wait nitafute apps rahis ya kucapture screenshortTupia screenshot tuone
Press power + volume down at same timeNgoja nihangaikie ujue... s4 sumsung nashndwa kupigaga screen shoot wait nitafute apps rahis ya kucapture screenshort
Ngoja nihangaikie ujue... s4 sumsung nashndwa kupigaga screen shoot wait nitafute apps rahis ya kucapture screenshort
samsung ni power + home button kwa mpigoPress power + volume down at same time
Hata kwenye notification bar pia IPOsamsung ni power + home button kwa mpigo
Yah... ila yangu inahitaji timing.... .hiiu power button ina wenge ukibug inajizima mazima afu kuwasha msalasamsung ni power + home button kwa mpigo
Bila shaka battery kimeoYah... ila yangu inahitaji timing.... .hiiu power button ina wenge ukibug inajizima mazima afu kuwasha msala
Mkuu hii kitu ukiiupdate kutoka ile ya 2016 kwenda 2017 haiwezi kuanza na moja?maana nimefika mbali mno na timu yangu ni stable sana so sipo tayari kupoteza hawa wachezaji nimesota sana kupata hela za kuwanunua na kucheat kwaajili ya hizo coin sihusudu kabisadream league 2016 na 2017 ni game moja tu, kama una coin update na.playstore zitabaki coin zako
Iko wap mbna siioni ....iyo ndionaitakagaHata kwenye notification bar pia IPO
Mkuu hii kitu ukiiupdate kutoka ile ya 2016 kwenda 2017 haiwezi kuanza na moja?maana nimefika mbali mno na timu yangu ni stable sana so sipo tayari kupoteza hawa wachezaji nimesota sana kupata hela za kuwanunua na kucheat kwaajili ya hizo coin sihusudu kabisa
Nashukuru sana mkuuuki update data hazipotei,
ila kuwa salama fanya backup, nenda file manager halafu click android kisha data tafuta folder la dream league kisha copy halafu paste mahala salama, kisha update. likitokea la kutokea unarudisha 16 kisha unarudisha data zako.
Maana pamoja na kwamba sina coin za wizi lakini naweza fanya objectives zote zikaenda vyema kutokana na uwezo halisi wa timu yangu yenye ushindani mkubwaNashukuru sana mkuu
Mnatakiwa kuwa na simu tatu moja itafanya kazi hotspot itaunganisha simu mbili kupitia hiyo hotspot ya simu moja hizo mbili zilizounganishwa ndizo zitakazo tumika kucheza gamenajaribu ku cheza kwa kutumia Wi-Fi lkn nashindwa mwenye kufahamu jinsi ya kufanya set up plz nisaidie ufundi