Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,312
- 12,194
ni offline!!Hio link aliyoweka chief mkwawa ni online au offline
ni offline!!Hio link aliyoweka chief mkwawa ni online au offline
Natumia tecno k9Luna njia gani ya kufanya kudonload dlg2019 maana play store.halipo yapo fake Napia uki download kupitia Google limegoma pia










. Umeona ule uzi nliopiga kama brazil vileNawezaje kujua nnaecheza nae anatoka nchi gani, na pia nawezaje kuchagua nchi, mm nataka nicheze na wabongo bhnKuna mtu nimetoka kumchapa goli 2 kwa 1
Anajiita singida Utd
Mkuu ni mm nliyekuchapa
Namba yako nimechukua ntakuchek. Umeona ule uzi nliopiga kama brazil vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Dream League Soccer - Apps on Google PlayLuna njia gani ya kufanya kudonload dlg2019 maana play store.halipo yapo fake Napia uki download kupitia Google limegoma pia
Kuna baadhi ya wabongo wamesave majina ya timu zetu za kibongo au wameweka bendera ya taifa letu, ila asiye save kuwa anatokea wapi ni ngumu kumtambua,Nawezaje kujua nnaecheza nae anatoka nchi gani, na pia nawezaje kuchagua nchi, mm nataka nicheze na wabongo bhn
Kuna utofaut kidogo, ila ukiendelea kulicheza utalizoea, hata mm ktk Ps sina control,, mambo ni tofauti,, ila sisi tunaotumia phone kwa hii dream soccer hutuambii kitu,Hili game nilikuta rafiki yangu analo kwenye simu yake kwakua mimi naweza kucheza Play Station mpira nikaona nicheze hili game pia.
Nikawa napossess mpira vizuri tu. Tabu ipo kwenye kuscore, nahisi ni mazoea ya PS mfano kwenye PS kuna angle ukikaa ukitoa pasi ya triangle/ V atakayeuunga huo mpira ni lazima uelekee golini. Kwenye hili game mpira ulikua unatoka nje completely.
So nikajikuta nina % kubwa za possession ila magoli mawili au moja, yule bwana akicheza yeye magoli 8 mpaka 10 ila possession kwake ni ndogo hata 30.
Nikajua tu hili siendani nalo.
Mi nipo.. ila upande ule kimpira bado sijavuka division 7 nateseka Sana nikifika hapo😂😂
Hahaha pole mkuu mm niko division 5,,Mi nipo.. ila upande ule kimpira bado sijavuka division 7 nateseka Sana nikifika hapo
Hebu naomba mbinu mbadala unatumia formation gani na unatumia attack au difence ama unaweka kawaida tu..?
,Ha ha ahsante defense sijawahi itumia ni moderate au attack ndo mpango mzimaHahaha pole mkuu mm niko division 5,,
Mziki mnene mechi ngumu sana,
Mda mwingine na mm nachezea kipigo. Ila ktk game 8 lazima na mm nishinde angalau mechi 3 na suluhu kadhaa,
MFUMO:
mifumo yote inafaida inategemea ba mpinzani wako, ukikutana na fundi anayepiga pass nyingi we cha kufanya weka
(moderate) na upige zile longpass usitake kumiliki mpira maana hutaamini kitakachotokea,, kuna siku nlimiliki mpira kwa 76% ila huwezi amini nilipigwa 5 kwa 1
(Defenc) sikushauri mkuu kumbuka huku online kuna wanajua kumiliki mpira na anajua longpass,, matokeo huwez shinda kwa huu mfumo labda ukutane na mwenye kiwango kidogo,,
(Attack) huu mfumo mtamu sana maana piga nikupige vidole vyako viwe chap chap sana ktk kuachia mashuti ya kustukiza kwa sababu mpira haukai ktk ya uwanja,, hapa kupigwa au kupiga mtu kipigo cha mbwa mwizi ni kugusa,, hapa watu huwa wanakimbiaga,
Kwa level hiyo ya division 7 tumia sana attack kipindi cha kwanza upate matokeo mapema alafu kipindi cha pili tumia moderate,,
Ila neno langu sio sheria,, ila pia network iwe poa, mie mara nyingi nacheza usiku kwa sababu network iko poa,, kule kukwama kwama hakuna na ikitokea basi ni kidogo,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila division kuna wanyonge na wababe,,Ha ha ahsante defense sijawahi itumia ni moderate au attack ndo mpango mzima
Kuna vi kenge nikikutana navyo huwa navipiga mpaka huruma!
Na hiyo huwa nikishuka daraja div 8..
Sijui kwanini div 7 imeniwia ugumu ndo najiuliza maguru yaliopo div 1 na 2 sindo unapigwa magoli mpaka unaenda kujifukiza![]()
, hata hizo nlizoshinda nimeshinda ktk mazingira magum kweli,, hyo mechi nliyotoka 3-3 aiseh huyo mpuuzi unaupiga aiseeh nlichomoa dk ya 92
, huyo mpuuzi ana wachezaji wa zamani tupu, ana Ronaldo de lima, Zidane, Cafu , Beckham, Ronaldinho, pia ana Maradona ndani ,,,Tatizo lako nahisi unapiga pass nyingiHa ha ahsante defense sijawahi itumia ni moderate au attack ndo mpango mzima
Kuna vi kenge nikikutana navyo huwa navipiga mpaka huruma!
Na hiyo huwa nikishuka daraja div 8..
Sijui kwanini div 7 imeniwia ugumu ndo najiuliza maguru yaliopo div 1 na 2 sindo unapigwa magoli mpaka unaenda kujifukiza![]()
Bila pasi sijacheza mpira!Tatizo lako nahisi unapiga pass nyingi
Pass piga unaongoza zaidi goli mbili tena angalau kuanzia dk ya 80 , maana pale ni kupoteza mda
Sent using Jamii Forums mobile app
Pass hata mm napiga tena nyingi tu, ila sasa huku online watu wanaweza vyote,, mie nikianza tu huwa nasaka magoli kwanza,, baada ya hapo ndo naweza kupiga pass na lengo huwa kupoteza mda tu,,Bila pasi sijacheza mpira!
Butua sishanishinda ndo nitafungwa Kama mbwa koko iliopotea njia![]()
Nashauri cheza play station 3 au 4Bila pasi sijacheza mpira!
Butua sishanishinda ndo nitafungwa Kama mbwa koko iliopotea njia![]()
Unatumia android version gani?Luna njia gani ya kufanya kudonload dlg2019 maana play store.halipo yapo fake Napia uki download kupitia Google limegoma pia