1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,136
- 14,224
Niko online chief, lakini kucheza dream mchana huwa linasumbua sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko online chief, lakini kucheza dream mchana huwa linasumbua sana
Download Dream League Soccer for Android - Free - 6.13mwenye link ya kudownload hyo dream league naomba me nataumia samsung j5 kila nkidonload limakataa ku play
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nikishaona nileshalazwa tatu nunge huwa nakimbia mzee [emoji3][emoji3][emoji3]Okey mkuu kuna mtu kakimbia mechi
Timu yangu Rahim fc
Mwingine nimemchapa, hapo kama unavoona[emoji23]View attachment 1441774View attachment 1441775
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ngoja nianze leo na mimi niwachapeKuna utofaut kidogo, ila ukiendelea kulicheza utalizoea, hata mm ktk Ps sina control,, mambo ni tofauti,, ila sisi tunaotumia phone kwa hii dream soccer hutuambii kitu,
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatumia line gani yenye kasi mkuu?Hahaha pole mkuu mm niko division 5,,
Mziki mnene mechi ngumu sana,
Mda mwingine na mm nachezea kipigo. Ila ktk game 8 lazima na mm nishinde angalau mechi 3 na suluhu kadhaa,
MFUMO:
mifumo yote inafaida inategemea ba mpinzani wako, ukikutana na fundi anayepiga pass nyingi we cha kufanya weka
(moderate) na upige zile longpass usitake kumiliki mpira maana hutaamini kitakachotokea,, kuna siku nlimiliki mpira kwa 76% ila huwezi amini nilipigwa 5 kwa 1
(Defenc) sikushauri mkuu kumbuka huku online kuna wanajua kumiliki mpira na anajua longpass,, matokeo huwez shinda kwa huu mfumo labda ukutane na mwenye kiwango kidogo,,
(Attack) huu mfumo mtamu sana maana piga nikupige vidole vyako viwe chap chap sana ktk kuachia mashuti ya kustukiza kwa sababu mpira haukai ktk ya uwanja,, hapa kupigwa au kupiga mtu kipigo cha mbwa mwizi ni kugusa,, hapa watu huwa wanakimbiaga [emoji23],
Kwa level hiyo ya division 7 tumia sana attack kipindi cha kwanza upate matokeo mapema alafu kipindi cha pili tumia moderate,,
Ila neno langu sio sheria,, ila pia network iwe poa, mie mara nyingi nacheza usiku kwa sababu network iko poa,, kule kukwama kwama hakuna na ikitokea basi ni kidogo,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie napamba hadi zifike 5,Mimi nikishaona nileshalazwa tatu nunge huwa nakimbia mzee [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia hapo kwenye leaderboard utajiona wa milion 2 kama mimi[emoji16][emoji16][emoji16]
Wahuni sana kule yaani kaunta zao ndo kitu kinanichosha[emoji16][emoji16][emoji16]
Mda wote niko 5 sipandi sishuki[emoji23][emoji23]Wahuni sana kule yaani kaunta zao ndo kitu kinanichosha[emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nilisharudi 4 lakini kuna wana sio poa unapigwa hadi unatamani Ku quit[emoji3][emoji3]Mda wote niko 5 sipandi sishuki[emoji23][emoji23]
Ila kuna mda unakutana ns timu ambayo haina uwanja mkubwa hao ndo wa kupiga
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mechi zote tatu nimekalishwa, ila network majanga na ndo tatizo asee. Mechi zote tatu nilikimbia kabla hazijaisha [emoji3][emoji3][emoji3]Mi nilisharudi 4 lakini kuna wana sio poa unapigwa hadi unatamani Ku quit[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yahitaji roho ngumu kuleMimi mechi zote tatu nimekalishwa, ila network majanga na ndo tatizo asee. Mechi zote tatu nilikimbia kabla hazijaisha [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app