Apk ya Dream League soccer 2017

Apk ya Dream League soccer 2017

Hahaha pole mkuu mm niko division 5,,
Mziki mnene mechi ngumu sana,

Mda mwingine na mm nachezea kipigo. Ila ktk game 8 lazima na mm nishinde angalau mechi 3 na suluhu kadhaa,

MFUMO:
mifumo yote inafaida inategemea ba mpinzani wako, ukikutana na fundi anayepiga pass nyingi we cha kufanya weka

(moderate) na upige zile longpass usitake kumiliki mpira maana hutaamini kitakachotokea,, kuna siku nlimiliki mpira kwa 76% ila huwezi amini nilipigwa 5 kwa 1

(Defenc) sikushauri mkuu kumbuka huku online kuna wanajua kumiliki mpira na anajua longpass,, matokeo huwez shinda kwa huu mfumo labda ukutane na mwenye kiwango kidogo,,

(Attack) huu mfumo mtamu sana maana piga nikupige vidole vyako viwe chap chap sana ktk kuachia mashuti ya kustukiza kwa sababu mpira haukai ktk ya uwanja,, hapa kupigwa au kupiga mtu kipigo cha mbwa mwizi ni kugusa,, hapa watu huwa wanakimbiaga ,

Kwa level hiyo ya division 7 tumia sana attack kipindi cha kwanza upate matokeo mapema alafu kipindi cha pili tumia moderate,,

Ila neno langu sio sheria,, ila pia network iwe poa, mie mara nyingi nacheza usiku kwa sababu network iko poa,, kule kukwama kwama hakuna na ikitokea basi ni kidogo,





Sent using Jamii Forums mobile app
Hatimae nimevunja mzizi wa fitina.
Nimevuka div 7 nipo div ya 6!😅
 
Alama zangu
Screenshot_20200517-130017.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chezeni Dls20 nyie acheni kupenda kitonga
Waafrica na watu wa Asia tunapenda mteremko sana
Wengi wanaliona dls20 baya kwa kuwa washazoea micoins ya bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom