KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,772
- 86,459
Ingia hapo kwenye leaderboard utajiona wa milion 2 kama mimiView attachment 1454343View attachment 1454347View attachment 1454348View attachment 1454349
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu mmeshafika division ya ngapi..?Mda wote niko 5 sipandi sishuki
Ila kuna mda unakutana ns timu ambayo haina uwanja mkubwa hao ndo wa kupiga
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nipo ya 4..! Naona kabisa ya 3 siingii bila kufanya figisu..😂
Kwenye hili gemu kuna figisu sana lzm utumie akili kuwa tu na wachezaji wenye uwezo sio tatizo bali uwezo wa kuwachezesha pia bila kusahau mbinu na figisu za kiwango cha lami..!
Mpk kufika hapo nimeelewa mengi sana mission yangu mpk nifike division ya kwanza nione Kuna vibopa kweli au vipi sahivi mtu akija hovyo anachezea vibaya Sana na uhakika wa kutokushuka daraja ninao tatizo kupanda tu!.. mpk kitaeleweka..😅



