Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 14,563
- 22,839
Mashart gani kusema tu kuwa ni Me au Ke au hautak kujulikana jinsia yako?Daaa jamani hayo ndio masharti ya mafunzo,???mhhhhh
Mashart gani kusema tu kuwa ni Me au Ke au hautak kujulikana jinsia yako?Daaa jamani hayo ndio masharti ya mafunzo,???mhhhhh
Pm pm pm.....
Jaman nifundishen mi mgeni jamvi hili,huko ku PM unafanyaje ili nimPM mtu na mimi
Mie natamani kuwa invisible,full maumbeya,nani kapigwa kibuti,nani anaolewa,nani kapewa mchongo wa kazi......nani katapeliwa......sheer entertainment.
Mashart gani kusema tu kuwa ni Me au Ke au hautak kujulikana jinsia yako?
Aiseee! PM ndio nini?
Tuma MPESA kwanza ndio uelekezwe...
Ukitumiwa na mie ukumbuke kunipunguziapo!!!!
Umesahau tena kuwa weye ndiye wapokea MPESA zangu kwa niaba...
Haina masaada sana kwa kuwa hawajui hao watu zaidi ya ID zao...
Mbaya zaidi kuna ID's nyingine hutumiwa na zaidi ya mtu mmoja...
JF ni wakati mwingine ni kama game vile...
Mkuu ni kweli hatujui????
Definately...
Mathalani unawezaje kuwajua watu wanane watumiao ID moja...utamjua mmoja tu labda!!!
unamaanisha watu kupeana log in details?....nifafanulie plz
namaanisha kama ulivyoandika hapo...
one ID, multiple users wa kada tofauti...
Nimekuelewa and thanks....
Hivi wewe ni me au ke? Samahani lakini