Nna mashaka kidogo
Mashaka gani jamani
Haiwezekani wenzako wote wafungiwe ubakie wewe tu, hilo haliwezekani
Hakuna, nimefanya utafiti wadada kibao
Pm yako iko imefungwa au haijafungwa??
Haijafungwa
Basi...
Iko wazi masaa 24
PM imewapa watu wachumba, imewapa one-night stand, PM imewapa watu wafadhili wa masomo..kupitia PM watu wamenegotiate biashara, PM imewafanya watu wawe karibu zaidi binafsi binafsi, Pm imewapa watu mambo ya siri amabyo huwezi yaona kwenye post na thread za kawaida. PM ndani ya JamiiForum ndio the best feature ever innovated, apewe hongera aliyebuni hii kitu.
mie nipo shem,usijari tutaongea vzr ila mlango mbona umeufunga?
Ni kweli kabisa PM imetupatia vitu adimu, vitu vitamu...tumepata usingizi kupitia PM....!
Pm imenipatia Mume
PM haijanipa cha maana zaidi ya kutukanwa na madada wa humu JF bila wao wenyewe kujitathmini, kutulia na kutafsiri mambo kwa wakati.
PM imenipa jeraha la moyo......sitaki maswali......
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums