Apewe hongera mgunduzi wa PM

Apewe hongera mgunduzi wa PM

Ni kweli kabisa PM imetupatia vitu adimu, vitu vitamu...tumepata usingizi kupitia PM....!

Mkuu naona wengi tumejikita kwenye vzr tu kiasi kwamba wageni wanaweza kuingia mkenge bure. So naomba niseme vile negative ili watu wawe careful. Kuna watu humu wametapeliwa, wameachika, n.k n.k kupitia pm.
 
PM imewapa watu wachumba, imewapa one-night stand, PM imewapa watu wafadhili wa masomo..kupitia PM watu wamenegotiate biashara, PM imewafanya watu wawe karibu zaidi binafsi binafsi, Pm imewapa watu mambo ya siri amabyo huwezi yaona kwenye post na thread za kawaida. PM ndani ya JamiiForum ndio the best feature ever innovated, apewe hongera aliyebuni hii kitu.

PM zimefanya pia watu wametapeliwa........
 
Ngoja nami labda 2015 nitapata PM (kidding)
^^
 
PM yangu bado mpya kabisa.. haijatumika kabisa. Warembo namba nane karibuni sana
 
Back
Top Bottom