Apewe hongera mgunduzi wa PM

Apewe hongera mgunduzi wa PM

ngoja nianzage kwenda pm na mimi nione kuna nini humo
cc: annito
 
Last edited by a moderator:
Mimi nataka wa kuchati nae tu awe ke sijari shepu wala sura. Mradi awe ke
 
Jaman nifundishen mi mgeni jamvi hili,huko ku PM unafanyaje ili nimPM mtu na mimi
 
Hahahahahaaaaa aiseee ni kweli kabisa, mimi pia ni shuhuda wa haya mambo
 
Hahahahaa pole.....unaweza kuta udhaniavyo sivyo maana hata hapa hujapata uhakika bado

aisee kweli yatakuwa maajabu mno. Yaan kweli leo hii ww Khantwe uwe me?!! Kama ni kweli ww n me sitakuja niamin mtu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom