Ansbert Ngurumo: Taifa linaelekea pabaya sana

Kiukweli mimi ni kama Tomaso, siiamini taarifa hii yote hivi hivi ilivyo. Kuna maeneo nakubaliana na Ngurumo, lakini hoja hii ya Lissu,

"Wakatoa mfano wa shambulizi dhidi ya Lissu (Dodoma) na mgombea wa Muleba; kwamba walipaswa kufa, lakini waliotumwa *walifanya makosa.*", sorry jamani siiamini kabisa kuwa hiki kilijadiliwa, kwa sababu siamini hawa watu wanaweza kuwa vichaa hivi!.

NB, karibu wote waliotajwa ni wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama, hivyo hii isijekuwa ni taarifa ya Kamati ya Ulinzi na Usalama imeleak kwa Ngurumo, naye kaileta JF, taarifa za kamati ya ulinzi na usalama ni siri!.

Tuwe makini na waangalifu sana na hizi taarifa za wanasiasa, tusije tukalishwa matango pori na kuingizwa ...cha kike!.
P
Umekuwa Mgeni naona

Ova
 
Asiyekujua nani wewe Mkoromije mfukuzia teuzi. Hata waraka wa Maaskofu huwezi kuuamini.

Tanzania's 'dictator' president threatening national unity: Catholic bishops

AFP

The Catholic Church of Tanzania denounced the violations of democratic principles and freedom of expression by the government of President John Magufuli, accusing him of endangering “national unity” in a pastoral letter published on Sunday.

“Political activities are prohibited by the instrumentalization of the police,”the letter by the Conference of Catholic Bishops of Tanzania read. The Churchhas been accused in recent months by the opposition of remaining silent in theface of “the dictatorial drift” of President Magufuli.

“The activities of political parties, such as public gatherings, demonstrations,marches, debates inside premises, which are the right of every citizen, are suspended until the next elections,” thebishops further bemoaned.

If we allow this climate to continue,let us not be surprised to findourselves tomorrow in more serious conflicts that will destroy thefoundations of peace and national unity.

Denouncing “violations of the Constitution and national laws”, the statement also stressed that “media are closed or temporarily suspended, thus restricting the right of citizens, to be informed, freedom of opinion and the right to privacy and expression”.

The clergy also noted that the current political atmosphere bred “division and hatred that could endanger peace, security and the lives of citizens.”

They also point to tensions thatcontinue to mark by-elections at different levels. “These elections leave a feeling of anger, a thirst for revenge and a lack of interest in otherelections,” they noted.

“If we allow this climate to continue, let us not be surprised to find ourselves tomorrow in more serious conflicts that will destroy the foundations of peace and national unity,” warned the bishops.

The Catholic Church was criticized for being silent after the allegedassassination attempt in September 2017 on Tanzanian MP Tundu Lissu, the opposition chief in parliament.

Lissu, who is also president of the Bar Association, is currently beinghospitalized in Brussels after months of intensive care in Kenya.

Although the attack was carried out in broad daylight, in a residential areaguarded by the police, no suspect hasyet been arrested. The parliamentary party, Chadema, accuses the government of being behind the attack.

Nicknamed “Tingatinga” (Bulldozer in Swahili), President Magufuli has made an impression since taking office at the end of 2015, being unyielding in thefight against corruption.

But his unconventional and brutal style earned him the reputation of beingautocratic and populist by his detractors, while freedom of expression is increasingly reduced in the country.

Opposition party meetings banned,newspapers closed, and journalists andartists beaten or threatened with deathfor criticizing government.

Kiukweli mimi ni kama Tomaso, siiamini taarifa hii yote hivi hivi ilivyo. Kuna maeneo nakubaliana na Ngurumo, lakini hoja hii ya Lissu,

"Wakatoa mfano wa shambulizi dhidi ya Lissu (Dodoma) na mgombea wa Muleba; kwamba walipaswa kufa, lakini waliotumwa *walifanya makosa.*", sorry jamani siiamini kabisa kuwa hiki kilijadiliwa, kwa sababu siamini hawa watu wanaweza kuwa vichaa hivi!.

NB, karibu wote waliotajwa ni wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama, hivyo hii isijekuwa ni taarifa ya Kamati ya Ulinzi na Usalama imeleak kwa Ngurumo, naye kaileta JF, taarifa za kamati ya ulinzi na usalama ni siri!.

Tuwe makini na waangalifu sana na hizi taarifa za wanasiasa, tusije tukalishwa matango pori na kuingizwa ...cha kike!.
P
 
Kiukweli mimi ni kama Tomaso, siiamini taarifa hii yote hivi hivi ilivyo. Kuna maeneo nakubaliana na Ngurumo, lakini hoja hii ya Lissu,

"Wakatoa mfano wa shambulizi dhidi ya Lissu (Dodoma) na mgombea wa Muleba; kwamba walipaswa kufa, lakini waliotumwa *walifanya makosa.*", sorry jamani siiamini kabisa kuwa hiki kilijadiliwa, kwa sababu siamini hawa watu wanaweza kuwa vichaa hivi!.

NB, karibu wote waliotajwa ni wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama, hivyo hii isijekuwa ni taarifa ya Kamati ya Ulinzi na Usalama imeleak kwa Ngurumo, naye kaileta JF, taarifa za kamati ya ulinzi na usalama ni siri!.

Tuwe makini na waangalifu sana na hizi taarifa za wanasiasa, tusije tukalishwa matango pori na kuingizwa ...cha kike!.
P
Yakitokea utakuja na thread ndefu kutuzuga.
 
inteluginccia koko ya chadema isiyojua
Diwani yupi au mbunge yupi atahama oya oya oya mzushi at work hamjui yenu ndio mtayajua ya CCM? Mwehu mzushi wewe mleta mada
Povu linamtoka huyu
 
Kiukweli mimi ni kama Tomaso, siiamini taarifa hii yote hivi hivi ilivyo. Kuna maeneo nakubaliana na Ngurumo, lakini hoja hii ya Lissu,

"Wakatoa mfano wa shambulizi dhidi ya Lissu (Dodoma) na mgombea wa Muleba; kwamba walipaswa kufa, lakini waliotumwa *walifanya makosa.*", sorry jamani siiamini kabisa kuwa hiki kilijadiliwa, kwa sababu siamini hawa watu wanaweza kuwa vichaa hivi!.

NB, karibu wote waliotajwa ni wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama, hivyo hii isijekuwa ni taarifa ya Kamati ya Ulinzi na Usalama imeleak kwa Ngurumo, naye kaileta JF, taarifa za kamati ya ulinzi na usalama ni siri!.

Tuwe makini na waangalifu sana na hizi taarifa za wanasiasa, tusije tukalishwa matango pori na kuingizwa ...cha kike!.
P
Tomasso alikua mbishi hata Kama ukweli uko wazi ..!!
Kweli wewe ni tomasso
 
Hayo maneno hata tumbili anayaandika

Teknolojia ya sasa ndio yote

Huyo mchochezi arushe kideo tuwasikie huku tukiwaona na sura zao zote na iambatane na audio pia kivyake.

Yaani chadema wamekuwa alosto kweli kweli..

Kesho mwingine atabeba picha baada ya kumuua mtu akidai kauliwa na chama tawala.. kumbe yeye ndie anahusika kisa kulilia kura kwa kuua wenzao.. ila mwisho wao uje haraka watu wajue maovu yao.. chama bomu kila siku uongo na kusingizia.
Mlipoataka kumuua Tundu Lissu mlikuwa mnatafuata nini?
 
Asiyekujua nani wewe Mkoromije mfukuzia teuzi.
Kila mtu yuko huru kufanya shughuli yoyote ya halali kuendeshea maisha yake.

Sasa kama imetokea maisha yamenishinda, na shughuli pekee halali iliyobaki kuendeshea maisha yangu ni kufukuzia teuzi, kuna ubaya gani kama nami nikifukuzia teuzi, haswa kwa kuzingatia, hii ni zamu ya kabila letu?.

Na kama uko nchini, karibu usome gazeti la Raia Mwema kila Jumatatu, nina safu yangu inaitwa "Kwa Maslahi ya Taifa na Pascal Mayalla. Karibu uone jinsi watu tunavyofukuzia teuzi kwa kuifagilia CCM.
Hizi ni makala za wiki hii na wiki iliyopita

Shurti la kudhaminiwa na chama kugombea uchaguzi, ni shurti batili kwa mujibu wa Katiba, linatutia hasara, tulifute!.

Kinondoni na Siha, tusikubali ujinga huu! hata Mwl. Nyerere alikataa ujinga wa CCM, 1995 akachagua upinzani!
P
 
Kiukweli mimi ni kama Tomaso, siiamini taarifa hii yote hivi hivi ilivyo. Kuna maeneo nakubaliana na Ngurumo, lakini hoja hii ya Lissu,

"Wakatoa mfano wa shambulizi dhidi ya Lissu (Dodoma) na mgombea wa Muleba; kwamba walipaswa kufa, lakini waliotumwa *walifanya makosa.*", sorry jamani siiamini kabisa kuwa hiki kilijadiliwa, kwa sababu siamini hawa watu wanaweza kuwa vichaa hivi!.

NB, karibu wote waliotajwa ni wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama, hivyo hii isijekuwa ni taarifa ya Kamati ya Ulinzi na Usalama imeleak kwa Ngurumo, naye kaileta JF, taarifa za kamati ya ulinzi na usalama ni siri!.

Tuwe makini na waangalifu sana na hizi taarifa za wanasiasa, tusije tukalishwa matango pori na kuingizwa ...cha kike!.
P

Nitaamini lea 100% ni ukweli.Baada ya kuuawa kwa Daniel John n.a. ile show ya Polisi pale kwenye ofisi ya Chadema kwa kupigwa mabomu ndani na nje ya ofisi. Viongozi wa CCM waliokuwa the kupigwa kibaya na wengine kulazwa wakiwa na hali mbaya hakika kwenye hili kuna ukweli.

Na ukizingatia gari la mmoja was ndiyo liliwabeba wale wauaji wa Mawazo na mpaka leo hakuna kesi ati shahidi umuhimu yaani Mlengwa alifariki kabla hajatoa ushahidi wake.

Pascal lea haya yanawesekana ukizingatia sentensi ya Mkullu aliyesema siku anawaapisha wale makada kuwa Wakurugenzi..."Halafu mtu analipwa na Serikali ya CCM halafu amtangaze mpinzani mshindi akatafute mahali pa kufanya kazi.

Mlishangaa Mnyeti alivyosema hawezi kufanya kazi n.a. mpinzani ati Baba atamuanibisha wakati Baba ndiyo ametuma ujumbe.

Pascal unataka mpaka kiongozi gani wa CDM auawe ndiyo uamini?Mzee Makamba hakukosea kusema Wapinzani watabatizwa kwa moto maana ni risasi sa moto au kutoa damu kwa maana damu ikimwagika inakuwa ya moto mpaka ipoe kaisha ondoka.
 
Si mjitoe tu mnaangaika nini sasa? Au mnapenda kuuwawa na kutekwa?

Kujitoa mtajitoa nyie mliozoea vya kunyonga. Sasa hivi ni kuwataarifu makamanda kutembea ni viberiti na petrol, tendo lolote la sintofahamu ni kumaliza game on the spot.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Usipofuata sheria wewe ndio utakayeenda pabaya...kamwe Taifa haliwezi kwenda pabaya
sawa kabsa.sis ccm wao chadema wao wakristo cc waislamu wao wachaga cc wasukuma...anayekula nyama ya binadamu haachi.nyerere
 
Hongera kwa ufinyu wa akili ulionyesha hapa. Hivi kila aliyepita angeweka mbele ukabila wewe sijui hata kama ungetia mguu shuleni kwani hukuwa kabila yao.

Watu kama wewe ni hasara sana kwa Taifa siku zote mkuki kwa nguruwe.

Kila mtu yuko huru kufanya shughuli yoyote ya halali kuendeshea maisha yake.

Sasa kama imetokea maisha yamenishinda, na shughuli pekee halali iliyobaki kuendeshea maisha yangu ni kufukuzia teuzi, kuna ubaya gani nami nikifukuzia teuzi, haswa kwa kuzingatia, hii ni zamu ya kabila letu?.

Teh teh teh kaka yangu Pascal Mayalla umejambishwa kidogo tu umepanic na kuonyesha ngozi yako halisi.
Huu mchezo hauitaji hasira.
By the way ,Mayalla kwa Kisukuma ni njaa.
 
"Wakatoa mfano wa shambulizi dhidi ya Lissu (Dodoma) na mgombea wa Muleba; kwamba walipaswa kufa, lakini waliotumwa *walifanya makosa.*".

Hii siamini!.
P

Siku Lissu aliposema anafuatiliwa kila mahali ulimuani?Na uliposikia amemimiwa risasi kadhaa uliamini?

Huwezi kuamini sababu wanaodhurika si nduguzo,rafikizo,familia yako wala hamna hata imani sawa. Wanaamini CDM unaiamini CCM
 
CCM kwa sasa inalazimisha kitawala kwa nguvu lakini kiuhalisia wananchi watanzania wameishaikataa . jata hivyo mipango yao itakuwa migumu labda kama wataamua kutumia risasi
 
Back
Top Bottom