ANNOUNCEMENT YAH: NDOA KATI YA MKIVA vs PREETY

ANNOUNCEMENT YAH: NDOA KATI YA MKIVA vs PREETY

hongera zao Mungu awanusuru waishi kwa furaha katika ndoa yao changa wasigombane kwani ugomvi uhaaribu mahusiano
 
Hongera sana Preety na mkiva tunawatakia maisha mema ya ndoa yenu na mkabarikiwe sana watoto na wajukuu wakazaliwe kwenu
Hongera sana sana Mr Rocky na Dena Amsi
 
Last edited by a moderator:
Hongereni sana!
From Mr & Mrs Filipo
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu asipaone hapa
Sasa unamlilia mwingine kumbe kuna mtu yupo kwaajili yako mm nikajua uko single na lile tonge lilikuwa lako ndo umenyang'anywa,sasa akiona kule ulikokuwa unalilia tonge atjiona hakidhi mahitji
 
Sasa unamlilia mwingine kumbe kuna mtu yupo kwaajili yako mm nikajua uko single na lile tonge lilikuwa lako ndo umenyang'anywa,sasa akiona kule ulikokuwa unalilia tonge atjiona hakidhi mahitji

Tehe tehe,kamoyo kananiendesha adi sijielewi mwenzio
 
Pole sana inaonyesha hapo ulipo moyo haujaridhika ndo maana unakuendesha au ulienda kwa mafuriko sasa yameisha?

Tehe tehe,mapenzi yananitatiza mwenzioooo,sielewi ndo mafuriko yenyewe...kunyang'anywa tonge mdomoni si mchezo atii
 
Note :
Get to know !
Imetafadhalishwa kwa wale wanaokwenda kwenye shughuli (Minuso) huku wakiwa wamejihami na Liquor's bottle kwenye mifuko yao ya makoti , (kama akina Bishanga , Erickb52 , Filipo wasihangaike kujihami .
Kinywaji kipo cha kutosha .
Pia pameandaliwa eneo maalumu kwa watu wazima wasiopenda makelele wakati wanakata kiu !
Ambao kwa harakaharaka watu hawa ni kama akina Uncle Kaizer , Mz watu8 , kabanga , Mr Rocky , Arushaone , @aspirin , Mtambuzi , Nicas Mtei , Washawasha , mwekundu , Mwanyasi , Rutashobolwa , kiwatengu , Mzee wa Rula
Tonykp , Jerrymsigwa ,
eli 79 , ray05 ,
Chimbuvu , King Kong III
na wengine wafananao na hao .

kama ulikuwepo kaka.
Nalog off
 
Tehe tehe,mapenzi yananitatiza mwenzioooo,sielewi ndo mafuriko yenyewe...kunyang'anywa tonge mdomoni si mchezo atii
Tonge lilikuwa siyo lako sema ww ulikuwa unalimezea mate tu sasa kalimeza ndo unahaha, tengeneza tonge lako haya ya kumendea yanakaba!
 
Back
Top Bottom