Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Tonge lilikuwa siyo lako sema ww ulikuwa unalimezea mate tu sasa kalimeza ndo unahaha, tengeneza tonge lako haya ya kumendea yanakaba!
Ebu endelea kunipa semina,naona kama unakaribia ku win kamoyo kangu vile