ANNOUNCEMENT YAH: NDOA KATI YA MKIVA vs PREETY

ANNOUNCEMENT YAH: NDOA KATI YA MKIVA vs PREETY

Limbwata la ki .com siku hizi liko kitandani !
Kiuno chako Bi dada limbwata tosha !
Kuna wanawake wanazungusha kiuno kumzidi Funza wa toilet ! Nimng'ang'anie unambie limbwata?
Sio kweli !
Wadada wanajituma bwana now dayz!

Kama viuno vinadumisha ndoa bas tanga ntwara na pemba wasingeachika
 
Ukimuona muongezee majukumu awe bze zaidi,niendlee kujitanua huku. Mana yule mzee mkolon sn,akiwa home sipumui vizuri,kazidi kunichunga

huku tunakampeni ya kuwavua gamba, ukimuona dadiyo kavaa lubega ushishangae maana huku walijidai ni ma airtel.

Cc: Nicas Mtei
 
Last edited by a moderator:
Yaani ni majanga...sijui wanataka watu wawe wanapeana mimba tu kabla ya ndoa? Maana ukichelewsha ndoa za watu maana yake anataka watu wajiseive juu kwa juu

mi naona ni bora majina ya teuliwe upya tuanze tena uchaguzi, huyu mwenyekiti kazeeka sasa majukumu yanamuelemea.
 
Nasikiaga hivo mwaya ndo maana nnakaa kwa machale maana mume wangu kiwatengu anaishi huko ati

mwaya usiogope wamakonde hawajui chochote zaidi ya kucheza sindimba....... Hahahaa mi natania tu jamani wasije wakaja kuntoa roho buree
 
Last edited by a moderator:
Kama viuno vinadumisha ndoa bas tanga ntwara na pemba wasingeachika

Mwanamke awe na miadabu kaa'mlima Kilimanjaro! Minidhamu kaa'mount Elgon! Mifeza na minini afu KIUNO hakipo! Hapo mi najitoa!
UNO kwanza mengine next !
Fananisha uno na Spikabunge , hayo manizamu na maadabu ni wabunge tu !
Mbunge akikosekana mjengoni , bunge linapuyanga .
Spika je? Akikosekana?
 
Limbwata la ki .com siku hizi liko kitandani !
Kiuno chako Bi dada limbwata tosha !
Kuna wanawake wanazungusha kiuno kumzidi Funza wa toilet ! Nimng'ang'anie unambie limbwata?
Sio kweli !
Wadada wanajituma bwana now dayz!

Hivi kumbe eeh! Maskini mie kiuno hiki kilivo kigumu ni mwendo wa kuachwa tuu
 
huku tunakampeni ya kuwavua gamba, ukimuona dadiyo kavaa lubega ushishangae maana huku walijidai ni ma airtel.

Cc: Nicas Mtei

Apo sitii neno mradi tu uhakikishe anachelewa kurudi. Na akikaribia kuja unishtue ili nijiweke sawa asije nifumania bure nazurura
 
Last edited by a moderator:
Apo sitii neno mradi tu uhakikishe anachelewa kurudi. Na akikaribia kuja unishtue ili nijiweke sawa asije nifumania bure nazurura

poa, na wewe nakupa kazi uhakikishe Arushaone hanyanyui mguu wake kuja huku nilipo na baba ako... Sawa?
 
Last edited by a moderator:
Protokali za laws zote za ndoa hii tayari zilikwishakua obzevu !
Nadhani ni wakati ule ulipokua Qunnu kwenye mazishi ya Babu .

Judgement
Kwahiyo pingamizi langu ni batili????
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom