ANNOUNCEMENT YAH: NDOA KATI YA MKIVA vs PREETY

ANNOUNCEMENT YAH: NDOA KATI YA MKIVA vs PREETY

KOKUTONA

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2011
Posts
8,651
Reaction score
6,110
ec2af31cb8e85f402e3f73d0de105b81.jpg
slide_297471_2452730_free.jpg



Wapendwa wana wa Bodi ChitChAt & MMU.
Hayawi hayawi sasa yamekua !
Kwa taarifa hii mnaombwa kufahamishwa rasmi , kwamba wapendwa wetu leo tarehe 05/01/2014 wanafunga ndoa .
Ni ndoa tulioisubiri kwa muda mrefu.

Some verses taught us :-
"It's not for a man to be alone !"
God knows what's best for us , and so provide a helpmate !
Married is what he has instituted !

For this reason a MAN shall leave his parents and he join to his WIFE ! And the two shall become one flesh , so far they are no longer two but one flesh".


Itifaki zote zitazingatiwa na ndoa itafungwa kwa taratibu na kanuni za kimila .
Na kisha tafrija will be held at Hotel Regency , kuanzia saa mbili usiku hadi liamba.

Wote mnakaribishwa kuwaunga mkono wapendwa wetu hawa walioamua kuachana na upweke na kuamua kuunganisha nyoyo zao. mkiva and Preety.

"TAARIFA HII IMELETWA KWENU NA KUANDALIWA NA KUKUTONA & JUDGEMENT KWA HESHIMA TULIYOPEWA NA FAMILIA ZOTE MBILI"

flcpckpf.gif
 
Last edited by a moderator:
Aidha kwa taarifa nilizozipata punde hivi , toka kwa mmoja ya watu wazito ya mkiva's family ni kwamba
baada ya tafrija ya leo , maharusi watakwenda kupumzika (Mwezi wa Asali) Sable Mountain Lodge - Selous ambako they seeing sight wild animals , walkin safaris and Boat safaris , large numbers of Elephant , black Rhino , Giraffes , Hippopotamuses , Crocodiles & na vivutio vingine .
Watakua huko kwa one wik .
 
Last edited by a moderator:
Asante wapenzi jmn kwa matayarisho mazuri, tunawapenda sana, kwa niaba ya mume wangu mkiva tunatanguliza shukrani zetu kwenu wana chit chat, kipekee zaidi shukrani ziende kwa Kokutuna na Judgement!
 
Nani aliyekupa mamlaka ya kutangaza Ndoa????..

Hii ndoa ni batili.
 
Kweli Baba V anakila sababu ya kujiudhuru! Maana tangu mkiva atoe mabango yake ya ndoa sijaona mwenyekiti wa mahusiano ambae anabeba majukumu yote ya matangazo ya uchumba na ndoa akijihusisha kwa hili zaidi ya walengwa tu!
 
Last edited by a moderator:
Kweli Baba V anakila sababu ya kujiudhuru! Maana tangu mkiva atoe mabango yake ya ndoa sijaona mwenyekiti wa mahusiano ambae anabeba majukumu yote ya matangazo ya uchumba na ndoa akijihusisha kwa hili zaidi ya walengwa tu!

Mwenyekiti amekuwa mla rushwa, bila ya kuwa na kitu kidogo no msaada.
 
Last edited by a moderator:
Note :
Get to know !
Imetafadhalishwa kwa wale wanaokwenda kwenye shughuli (Minuso) huku wakiwa wamejihami na Liquor's bottle kwenye mifuko yao ya makoti , (kama akina Bishanga , Erickb52 , Filipo wasihangaike kujihami .
Kinywaji kipo cha kutosha .
Pia pameandaliwa eneo maalumu kwa watu wazima wasiopenda makelele wakati wanakata kiu !
Ambao kwa harakaharaka watu hawa ni kama akina Uncle Kaizer , Mz watu8 , kabanga , Mr Rocky , Arushaone , @aspirin , Mtambuzi , Nicas Mtei , Washawasha , mwekundu , Mwanyasi , Rutashobolwa , kiwatengu , Mzee wa Rula
Tonykp , Jerrymsigwa ,
eli 79 , ray05 ,
Chimbuvu , King Kong III
na wengine wafananao na hao .
 
Last edited by a moderator:
Mimi naomba mwenyekiti apigwe chini ASAP!!!
Hafai hata kidogo kuwa mwenyekiti wa mahusuano/ndoa humu CC...
Nahisi majukumu ya kifamilia yamemzidi hadi anashindwa kuunganisha watu humu..
 
Mimi naomba mwenyekiti apigwe chini ASAP!!!
Hafai hata kidogo kuwa mwenyekiti wa mahusuano/ndoa humu CC...
Nahisi majukumu ya kifamilia yamemzidi hadi anashindwa kuunganisha watu humu..

Mwenyekiti yupi sasa uliyemlenga?
Hapa si kila seasonal panaota Mwenyekiti ?
Na jana Mwenyekiti mpya kajinadi !
Hata mie na mke wangu tunafikiria kujitangaza wenyeviti wenye same status , wakati wowote kuanzia February .
 
Nani aliyekupa mamlaka ya kutangaza Ndoa????..

Hii ndoa ni batili.

Protokali za laws zote za ndoa hii tayari zilikwishakua obzevu !
Nadhani ni wakati ule ulipokua Qunnu kwenye mazishi ya Babu .
 
Mwenyekiti yupi sasa uliyemlenga?
Hapa si kila seasonal panaota Mwenyekiti ?
Na jana Mwenyekiti mpya kajinadi !
Hata mie na mke wangu tunafikiria kujitangaza wenyeviti wenye same status , wakati wowote kuanzia February .

Nikidhani Baba V ndo mwenyekiti wa CC
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom