ANNOUNCEMENT YAH: NDOA KATI YA MKIVA vs PREETY

ANNOUNCEMENT YAH: NDOA KATI YA MKIVA vs PREETY

Nani aliyekupa mamlaka ya kutangaza Ndoa????..

Hii ndoa ni batili.

Taratibu zote zimefuatwa..waache vijana wakaonje pepo ya ndoa, nini kuwabania?
 
Kweli Baba V anakila sababu ya kujiudhuru! Maana tangu mkiva atoe mabango yake ya ndoa sijaona mwenyekiti wa mahusiano ambae anabeba majukumu yote ya matangazo ya uchumba na ndoa akijihusisha kwa hili zaidi ya walengwa tu!

Yaani ni majanga...sijui wanataka watu wawe wanapeana mimba tu kabla ya ndoa? Maana ukichelewsha ndoa za watu maana yake anataka watu wajiseive juu kwa juu
 
Note :
Get to know !
Imetafadhalishwa kwa wale wanaokwenda kwenye shughuli (Minuso) huku wakiwa wamejihami na Liquor's bottle kwenye mifuko yao ya makoti , (kama akina Bishanga , Erickb52 , Filipo wasihangaike kujihami .
Kinywaji kipo cha kutosha .
Pia pameandaliwa eneo maalumu kwa watu wazima wasiopenda makelele wakati wanakata kiu !
Ambao kwa harakaharaka watu hawa ni kama akina Uncle Kaizer , Mz watu8 , kabanga , Mr Rocky , Arushaone , @aspirin , Mtambuzi , Nicas Mtei , Washawasha , mwekundu , Mwanyasi , Rutashobolwa , kiwatengu , Mzee wa Rula
Tonykp , Jerrymsigwa ,
eli 79 , ray05 ,
Chimbuvu , King Kong III
na wengine wafananao na hao .

Pia kutakuwa wa zawadi maalu kwa yule atakaye fyonza vimiminika vya kutosha kupita wenzake. just to make the party blasting
 
Kweli Baba V anakila sababu ya kujiudhuru! Maana tangu mkiva atoe mabango yake ya ndoa sijaona mwenyekiti wa mahusiano ambae anabeba majukumu yote ya matangazo ya uchumba na ndoa akijihusisha kwa hili zaidi ya walengwa tu!

Wajiuzulu wote! hadi yule mwenyekiti masalia nae arisign tu..
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hata mimi nakujaa!!
afu jana pale memorial kuna mtu nimemwona nikadhani ni wewe..kidogo nipige kelele kukuita

Ha ha ha haaa sasa ulijuaje kama siyo mimi?

Karibu sana sana
 
Back
Top Bottom