ANNOUNCEMENT YAH: NDOA KATI YA MKIVA vs PREETY

ANNOUNCEMENT YAH: NDOA KATI YA MKIVA vs PREETY

Mwanamke awe na miadabu kaa'mlima Kilimanjaro! Minidhamu kaa'mount Elgon! Mifeza na minini afu KIUNO hakipo! Hapo mi najitoa!
UNO kwanza mengine next !
Fananisha uno na Spikabunge , hayo manizamu na maadabu ni wabunge tu !
Mbunge akikosekana mjengoni , bunge linapuyanga .
Spika je? Akikosekana?

Bas sawaaa
 
Umekua mdogo kaa kikombe cha kahawa!
Kubali viishe .

Afu wewe bwana nimenyamaza unanichokoza si yetu na tunayajua wenyewe chumbani kama kuna mauno hakuna ni mi na kiwatengu endelea kutafuta mauno kila la kheriii
 
Last edited by a moderator:
Note :
Get to know !
Imetafadhalishwa kwa wale wanaokwenda kwenye shughuli (Minuso) huku wakiwa wamejihami na Liquor's bottle kwenye mifuko yao ya makoti , (kama akina Bishanga , Erickb52 , Filipo wasihangaike kujihami .
Kinywaji kipo cha kutosha .
Pia pameandaliwa eneo maalumu kwa watu wazima wasiopenda makelele wakati wanakata kiu !
Ambao kwa harakaharaka watu hawa ni kama akina Uncle Kaizer , Mz watu8 , kabanga , Mr Rocky , Arushaone , @aspirin , Mtambuzi , Nicas Mtei , Washawasha , mwekundu , Mwanyasi , Rutashobolwa , kiwatengu , Mzee wa Rula
Tonykp , Jerrymsigwa ,
eli 79 , ray05 ,
Chimbuvu , King Kong III
na wengine wafananao na hao .
ahsante kwa taarifa.....
 
Back
Top Bottom