Anne Semamba Makinda's Profile!

Mkuu hebu heshima Kidogo Wiliam ametulia sana leo anamwaga data! Chuki na ubinafsi wake hebu weka kando tumjue mama Makinda. William if you opt to ignore haters utasaidia. Unajua mambo ya kifamilia ya huyu mama Spika? naosoma controverse nyingi hapa JF nisaidie kidogo kuweka mistari sahihi

- Well mkuu sidhani kama tukifuatilia ishus za familia za viongozi wetu wote wa taifa kuanzia CCM mpaka Upinzani tutabaki na anybody, ninajua kwamba ana mtoto wa kike Michigan ambaye ameolewa na ana familia yake, otherwise toka amekua kiongozi wa taifa kwa muda mrefu sana sasa sijawahi kumuona au kumsikia na any kashfa, binafsi ninamuheshimu sana maana ni kiongozi anayejiheshimu sana kama anything basi itakua kabla hajawa kiongozi wa taifa ina maana alikuwa na umri mdogo sana! Sijui kama nimekusaidia mkuu!

- Ninaamini for a fact kwamba chaguo la mafisadi lilikuwa Mama Anna Abdallah, Wapinzani wako kwenye good hands kwa uongozi wa huyu mama as long as watakuwa makini kama tunavyotegema na ishus za masilahi ya taifa. Ninajua kwamba huyu mama hapendi sana upuuuzi na uongo uongo au masihara na ni very firm na mwenye msiamo sana, sauti yake ni nzito sana kule CC na inaheshimiwa sana! Ndio maana hata Mama Kilango alirudisha fomu maana asingeweza kusimama na huyu mama, halafu pia elewa kwamba bunge lina tabia ya kuchagua one of their own na mbunge senior ndio maana mafisadi walijaribu kumpitisha Mama Anna Abdallah maana na yeye amekuwa bungeni kwa muda mrefu sana walitegema sana hivyo dhana kumpitisha!

William
 
Thanks Kamanda!

Sina swali

Tusonge mbele

Mch Masa
 
Sorry maelezo yako mengine naona mazuri tu ila kwa nini mna notation ya kusema mtu anasaidia au atasaidia pale napofanya wajibu wake.
Mfano hapo kwenye red yeye anatakiwa kutenda haki kufanya wajibu wake si kusaidia neno hilo ndio linafanya viongozi wajione waungu watu

- Well mkuu kama unaelewa kazi za Spika bungeni, then utakubaliana na mimi kwamba sometimes anakua kama Jaji mahakamani, anaweza kusaidia zaidi kuliko kutenda haki sometimes maana kazi yake inahitaji sana kutumia discretion yake zaidi kwa wakati mwingi, kuliko kutenda haki ambao ni wajibu wake.

William.
 
- Well accomplishment zake kwenye viteongo vingine vya kazi alizowahi kuzifanya huko nyuma sidhani kama zinaweza kueleza anything on what she will accomplish kwenye bunge, kwa sababu majukumu ya huko alikotoka hayafanani kabisaa na ya kuongoza bunge la Jamhuri, labda kwanza tungejadili nini kinatakiwa kwa kiongozi kuwa a good Spika! au?

- Tizama mfano wa Mheshimiwa Keenja, alipokuwa City alifanya wonders kwa vile kule alikuwa one man show, lakini sio siri kwenye uwaziri haikuwa kama alivyokuwa City kwa sababu yalikuwa ni majukumu yenye mazingara tofauti!

William.

Nimeomba accomplishment ww unanipa analysis ,plse kama unajua any accomplishment alipokuwa hata naibu spika umeshindwa kusema hiyo pia haiendani na kazi ya uspika!!?

Hii ni forum so hizo accomplishment zake tutajua tuzitumie vp,halafua acha uwoga si kashapita kuwa spika.
 
- Well mkuu kama unaelewa kazi za Spika bungeni, then utakubaliana na mimi kwamba sometimes anakua kama Jaji mahakamani, anaweza kusaidia zaidi kuliko kutenda haki sometimes maana kazi yake inahitaji sana kutumia discretion yake zaidi kwa wakati mwingi, kuliko kutenda haki ambao ni wajibu wake.

William.

Umenena Vema
Wewe unajua unachofanya sina shaka na uwezo wako wa kufikiri na shaka na malengo yako.

Vivyo hivyo na Makinda nataka jua accomplishment zake zitasaidia kujua malengo yake ,maana licha ya mtu kuwa competent pia malengo yake ni nini skills anaitumiaje vibaya au vizuri .... on what direction
 
- Mama Makinda amefanya kazi za uongozi katika awamu zote, ninajua for a fact kwamba ni competent enough kushika hiyo nafasi ya U-Spika ya Accomplishments zake kiuongozi wa taifa ni kwamba hajawahi kupatwa na kashfa, wala kutuhumiwa kuharibu mahali popote pale alipowahi kuwa kiongozi huko nyuma, otherwise sijafanya research on exactly what amea-accomplish huko nyuma, zaidi ya kumjua kuwa ni kiongozi imara sana na mwenye msimamo, na pia mpenda haki Spika anahitaji kuwa na hizo skills ni muhimu sana.

- Alikuwa ofisi ya Waziri Mkuu, akawa RC, akawa mbunge tu na mwenyekiti wa kamati mbali mbali za bunge na kwa muda mrefu sana na amekua naibu Spika very effective ndio maana akapewa hii nafasi, ninaamini wabunge wa Upinzani wameridhika sana na huu uchaguzi maana wanamfahamu sana utendaji wake wa kazi.

William.
 
Kama sikosehi kabla ya kikao kilichomuondoa Lowassa, Mzee sita alitaka kuja Marekani na kuairisha mjadala mpaka atakaporudi. Na hakutaka kumuachia makamu wake aendeleze vikao. Inaonyesha Mzee Sita alikuwa juu kuliko bunge au taratibu zake. Mtanzania yoyote hatakiwi kuwa juu zaidi ya taasisi ya umma anayoongoza.

Baada ya kuona kuwa mambo yote yapo nje, Mzee Sita akaamua kupata umaarufu kwa kuwa mpinga ufisadi. Na wenye kumbukumbu fupi mnaona Sita alikuwa anafaa na mko incensed kwa kuukosa u-spika.

Wengine wanaona mama Makinda hafai kwa sababu tu Sitta au Marando hakuchaguliwa. Get over it. Sitta is an opportunistic individual and will reinvent himself.

Kuhusu mama Makinda, usimuone kuwa hafai kwa sababu tu unayo-list ya mtu uliyetaka awe spika. Kama hafai mlikuwa wapi wakati akiwa makamu Spika?
 
Umesema vema kuwa hajawahi kuwa na kashfa ni jambo njema (although mwizi sio mwizi mpaka atakapoonwa au kamatwa so kutotajwa na kashfa hakutoshi ndio maana tunataka accomplishment anyway umekuwa muungwana kusema ulichosema uja fanya research zaidi THANKS sikutegemea safi)

Na mwisho naona unaweza kufikisha ujumbe kwa Mama Makinda kuwa akumbuke anatetea Tanzania kwa ujumla sio chama chake ,pili wapinzani ni shehemu ya kuipa changamoto na kuikosoa serikali ,so awe subira na kuwapa nafasi ya kufanya hivyo
Tena ume mention kuwa ameona mengi recently alipokuwa D.C so hii ni kumkumbusa hashwa maana najua atakuwa anajua zaidi ya haya.
 
Kwa hakika Anna hana CPD(T) lakini ni mwanzilishi wa pale Mzumbe wakati ule IDM.
Walikwenda kusoma pale wakaambiwa wanasoma CPA(T) .NBAA ilipoanza kazi wakaambiwa CPAT haipatikani Darasani .
lazzima uhenye . Walisoma miaka 4. hawakupewa CPA T
Hivo basi Anna ni Trainned Accountant cum Auditor lakini sio kiwango cha CPAT
naweza kumwita APPROVED ACCOUNTANT
na je tunaambiwa ni kuwa ni auditor mzuri, je aliwahi kufanya kazi hiyo wapi?
 
- Ni mchapa kazi asiyependa mchezo hata kidogo, infact huyu ni nightmare ya mafisadi wanajua sana na the fact kwamba amechaguliwa inaweza kwua dalili za mabadiliko makubwa sana katika uongozi wa Term ya pili ya Awamu ya nne, ni mpenda haki na mfuatilaji wa details za ishus, hivi karibuni alikuwa DC kwenye semina ya uongozi bora aliniambia kufurahishwa sana na system ya uwajibikaji kwa viongozi ya huku USA, Wapinzani bungeni wakiwa makini bila mapepe atawasaidia sana as long wanapeleka ishus zenye uhakiika na hasa FACTS,

- Mkuu hivi ndivyo ninavyomjua Mama Makinda kuhusu masilahi ya taifa!
na kwamba hata kurudi kwake bungeni ilikuwa kazi kubwa sana na ya ziada sana!

William.

Ndugu William kusema tuu huyu mama ni mchapakazi haitoshi. Naomba utuambie hapa JF at least mambo matano ambayo huyu mama kwa miaka yake aliyokuwa serikalini tangu 1975 ameyafanya, na yameleta maendeleo makubwa sana kwa Watanzania wa kawaida. Maana isije kuwa yale yale ya JK ya mwaka 1995 kwamba alikuwa handsome boy mwalimu akatuambia kama mzuri kanyweni nae Chai.

Amekuja USA ameona jinsi uwajibikaji ulivyo, lakini ni huyu huyu mama ambae anakanusha swala la Richmond, wakati mimi na wewe tunajua kabisa Richmond imeanzishwa wakati wa kikao cha UN, na mkuu wa meza alikutana na baadhi ya hawa wezi. Huyu mama anazungumzia vipi EPA? Jee ana take stand gani kwenye 3% ya mikataba? Haya ndio maswali ambayo tunataka tujue upande wake, sio mtuambie kwamba anapenda rangi ya chanikiwiti sijui nini..... Tunataka majibu ya maswali magumu.
 
Kama sikosehi kabla ya kikao kilichomuondoa Lowassa, Mzee sita alitaka kuja Marekani na kuairisha mjadala mpaka atakaporudi. Na hakutaka kumuachia makamu wake aendeleze vikao. Inaonyesha Mzee Sita alikuwa juu kuliko bunge au taratibu zake. Mtanzania yoyote hatakiwi kuwa juu zaidi ya taasisi ya umma anayoongoza.

Baada ya kuona kuwa mambo yote yapo nje, Mzee Sita akaamua kupata umaarufu kwa kuwa mpinga ufisadi. Na wenye kumbukumbu fupi mnaona Sita alikuwa anafaa na mko incensed kwa kuukosa u-spika.

Wengine wanaona mama Makinda hafai kwa sababu tu Sitta au Marando hakuchaguliwa. Get over it. Sitta is an opportunistic individual and will reinvent himself.

Kuhusu mama Makinda, usimuone kuwa hafai kwa sababu tu unayo-list ya mtu uliyetaka awe spika. Kama hafai mlikuwa wapi wakati akiwa makamu Spika?
Mkuu kwa mbalii nakubaliana na wewe kuhusu six!kuna mahali nilwahi kusoma kua nae alikua na kashfa na matumizi mabaya ya hesabu za bunge!Na ikaenda mbali zaidi kua ana ishu flani flani huko mitaa ya upanga ambapo gari ya serikali ilikua ikitumika visivyo kwa hiyo issue ya Upanga!
Sikumbuki vizuri kama kuna mtu anakumbuka ataijuza JF.
 
Kaka kuna mijadala mingi mimi personal nimeandika kwamba Sitta is opportunist who happened to take our side. Sitta kajenga lile jengo kule kwako for what money? Sitta ni mwizi, plane and simple.

Now jee mama Makinda anatufaa? The answer is simple no. The women didn't achieve any substantial achievement that you can pin point despite being in the Bunge for over 35 years. Hii ni recycle ya GIGO za CCM......
 
Ndugu William kusema tuu huyu mama ni mchapakazi haitoshi. Naomba utuambie hapa JF at least mambo matano ambayo huyu mama kwa miaka yake aliyokuwa serikalini tangu 1975 ameyafanya, na yameleta maendeleo makubwa sana kwa Watanzania wa kawaida. Maana isije kuwa yale yale ya JK ya mwaka 1995 kwamba alikuwa handsome boy mwalimu akatuambia kama mzuri kanyweni nae Chai.

Amekuja USA ameona jinsi uwajibikaji ulivyo, lakini ni huyu huyu mama ambae anakanusha swala la Richmond, wakati mimi na wewe tunajua kabisa Richmond imeanzishwa wakati wa kikao cha UN, na mkuu wa meza alikutana na baadhi ya hawa wezi. Huyu mama anazungumzia vipi EPA? Jee ana take stand gani kwenye 3% ya mikataba? Haya ndio maswali ambayo tunataka tujue upande wake, sio mtuambie kwamba anapenda rangi ya chanikiwiti sijui nini..... Tunataka majibu ya maswali magumu.

- Mkuu heshima sana, labda kwanza tungejadili hivi nani amewahi kuwa Spika mzuri toka tupate uhuru, au tumjadili Spika yoyote yule Africa na Dunia nzima, then tuangalie kama huyu mama anazo hizo sifa, maana sijui Mwalimu wakati anakuwa Rais wakati tunapta uhuru alikuwa amewahi kuwa Rais mahali popote pale, Spika anaweza ku-accomplish nini akiwa Spika bungeni ndio maswali magumu ya kujiuliza na Spika anawezaje kua mzuri au mbaya?

- Siamini kwamba Spika mpya anaweza kuwa judged na mafanikio ya uongozi wa alikotoka kabla ya kuwa Spika, halafu usisahau kwamba at the end of the day huyu ni Spika wa CCM, aliyechaguliwa na CCM kulinda na kuendeleza ilani na sera za CCM !

Mhhhhhhhhhhhhhhh hapo kwenye red na shaka! may be nahitaji kuelimishwa zaidi.
Ila uelewa wangu anaapa kutetea katiba ya TZ ,na kazi yake kusimamia shughuli za bunge
 
- Well mkuu sidhani kama tukifuatilia ishus za familia za viongozi wetu wote wa taifa kuanzia CCM mpaka Upinzani tutabaki na anybody, ninajua kwamba ana mtoto wa kike Michigan ambaye ameolewa na ana familia yake, otherwise toka amekua kiongozi wa taifa kwa muda mrefu sana sasa sijawahi kumuona au kumsikia na any kashfa, binafsi ninamuheshimu sana maana ni kiongozi anayejiheshimu sana kama anything basi itakua kabla hajawa kiongozi wa taifa ina maana alikuwa na umri mdogo sana! Sijui kama nimekusaidia mkuu!

- Ninaamini for a fact kwamba chaguo la mafisadi lilikuwa Mama Anna Abdallah, Wapinzani wako kwenye good hands kwa uongozi wa huyu mama as long as watakuwa makini kama tunavyotegema na ishus za masilahi ya taifa. Ninajua kwamba huyu mama hapendi sana upuuuzi na uongo uongo au masihara na ni very firm na mwenye msiamo sana, sauti yake ni nzito sana kule CC na inaheshimiwa sana! Ndio maana hata Mama Kilango alirudisha fomu maana asingeweza kusimama na huyu mama, halafu pia elewa kwamba bunge lina tabia ya kuchagua one of their own na mbunge senior ndio maana mafisadi walijaribu kumpitisha Mama Anna Abdallah maana na yeye amekuwa bungeni kwa muda mrefu sana walitegema sana hivyo dhana kumpitisha!

William

Mkuu, ukweli ni kwamba wote watatu waliwekwa na mafisadi ..... time will tell. Subiri EL aanze kusafishwa kuelekea 2015.
 
Kaka kuna mijadala mingi mimi personal nimeandika kwamba Sitta is opportunist who happened to take our side. Sitta kajenga lile jengo kule kwako for what money? Sitta ni mwizi, plane and simple.

Now jee mama Makinda anatufaa? The answer is simple no. The women didn't achieve any substantial achievement that you can pin point despite being in the Bunge for over 35 years. Hii ni recycle ya GIGO za CCM......

Mtanganyika:

I hear you loud and clear. Lakini inawezekana mabadiliko tunayotaka ni lazima yafanyike ndani ya CCM vilevile. Kwa kufuatilia majadiliano ya hapa, inaonekana kuwa mwanaCCM ndani ya JF ni pariah and a social outcast.

Kwa maoni yangu binafsi kuchapa kazi sio kigezo. Kwani la kuchapa kazi hata Mheshimiwa Lowassa anaweza kujivunia. Kuchapa kazi na kurudia routines zilezile zisizoleta matunda hakusaidii.

Kwa hiyo cha muhimu ni kuangalia mtu anafanya kazi smartly na ku-deliver goodies.
 
- Mama Makinda amefanya kazi za uongozi katika awamu zote, ninajua for a fact kwamba ni competent enough kushika hiyo nafasi ya U-Spika ya Accomplishments zake kiuongozi wa taifa ni kwamba hajawahi kupatwa na kashfa, wala kutuhumiwa kuharibu mahali popote pale alipowahi kuwa kiongozi huko nyuma, otherwise sijafanya research on exactly what amea-accomplish huko nyuma, zaidi ya kumjua kuwa ni kiongozi imara sana na mwenye msimamo, na pia mpenda haki Spika anahitaji kuwa na hizo skills ni muhimu sana.

- Alikuwa ofisi ya Waziri Mkuu, akawa RC, akawa mbunge tu na mwenyekiti wa kamati mbali mbali za bunge na kwa muda mrefu sana na amekua naibu Spika very effective ndio maana akapewa hii nafasi, ninaamini wabunge wa Upinzani wameridhika sana na huu uchaguzi maana wanamfahamu sana utendaji wake wa kazi.

William.

Mr William, nashukuru sana kwa mchango wako na nime enjoy sana datas ulizozimwaga humu! my understanding ni kwamba alishapata bahati mbaya sana katika boards zote alizofanyia maana zote zilikufa, it is kind of a failure lakini sioni sababu ya kumuhukumu kwa hili!
 
Mhhhhhhhhhhhhhhh hapo kwenye red na shaka! may be nahitaji kuelimishwa zaidi.
Ila uelewa wangu anaapa kutetea katiba ya TZ ,na kazi yake kusimamia shughuli za bunge

- Spika aliyechaguliwa na CCM anakuwa mjumbe wa CC automatically, nia na madhumuni ni kum-keep in check and balance kwamba maongozi yake bungeni yanakwenda sambamba na agenda za CCM,

- Ni kazi ya wabunge wa Upinzani na Mwanasheria mkuu kuhakikisha kwamba Spika anatimiza wajibu wake wa kutetea katiba kwa hiyo ni wajibu wa Spika kuhakikisha ana-strike a balance between ilani na sera za CCM na the otherside anatetea na kuisimamia katiba ya Jamhuri.

William.
 
Mr William, nashukuru sana kwa mchango wako na nime enjoy sana datas ulizozimwaga humu! my understanding ni kwamba alishapata bahati mbaya sana katika boards zote alizofanyia maana zote zilikufa, it is kind of a failure lakini sioni sababu ya kumuhukumu kwa hili!

- Ninaamini kwamba zilikufa kutokana na wakati zaidi kuliko uongozi wake, ilikuwa ni wakati wa transition ya kutoka kwenye Cold War dhana ambayo ilifanya mabadiliko makubwa sana politically na hasa economically ambayo yaaliishia kuzifanya sekta nyingi sana zilizokua financed na government kuishia kujifia zenyewe.

William.
 
Jana nilipost thread yangu titled: Tunapojadili jinsia ya ana makinda na kusahau mustakabali wa taifa letu, leo asubui naona haipo. Hii si mara ya kwanza, niliwahi tena kubandika hapa kuhusu, ahadi za kikwete wakati wa kampeni kufikia trilioni tisini, baada ya masaa mawili nayo ikayeyuka, bahati mbaya nikaiona kwenye gazeti la mtanzania daima

sasaa, kama ni hivyoo sioni tena umuhimu wa kubandika chochote hapa, sitendewi haki
 
Back
Top Bottom