The Dreamer
JF-Expert Member
- Feb 2, 2009
- 1,282
- 20
Kama huna jibu kaaa kimya! Lazima nimjue Spika wangu
Thanks REV., your speaker is a black woman. Tutegemee nini?
Kama huna jibu kaaa kimya! Lazima nimjue Spika wangu
Prof Ndunguru bado yuko hai mzimaaaaa! Tulipokuwa chuoni miaka hiyoooooo ya sabini na ushee inasemekana huyu mama alikuwa mchumba wake, lakini kwa bahati mbaya mambo hayakwenda kama yalivyopangwa. Ila Prof alioa mwanamke mwengine wa kabila moja la Kaskazini mwa Tanzania.
Mimi mwenyewe nilihudhuria hiyo harusi ya Prof na huyo mke wake wa sasa.
Ila mama Makinda ni mchapa kazi na asihukumiwe kwa kosa lililotokea miaka zaidi ya thelathini nyuma. Aangaliwe alivyo hivi sasa kwa maoni yangu ni mtu mwenye heshima yake hana maskandali. Ingekuwa ni mama maskandali basi hapo bungeni pangekuwa moto na wengi wangekwisha jitokeza kujipendekeza.
Prof Bruno Ndunguru alikuwa bado hajaoa. Kwa nini hawakuoana ni siri yao wawili.
Hivi nimesoma mahali kuwa amekuwa Mbunge miaka 35. Ni nani alikuwa Mbunge wa jimbo alilogombea kabla yake?
Buchanan Mnyalu ni waadilifu wazuri....si unaona hakuna mnyalu kwenye listi ya ufisadi...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Njombe kabla ya Mama Makinda alikuwa ni Mzee Ngunangwa. Baada ya kukatwa jina lake Ngunangwa aliamua kuhamia upinzani ambako alishindwa. Kwa sasa sijui huyu Mzee Ngunangwa yuko wapi. Hiyo ilikuwa ni mwaka 1995.
Basi mama yuko vizuri. Tumpe muda wakuu.
Time will tell.
Kwa hakika Anna hana CPD(T) lakini ni mwanzilishi wa pale Mzumbe wakati ule IDM.
Walikwenda kusoma pale wakaambiwa wanasoma CPA(T) .NBAA ilipoanza kazi wakaambiwa CPAT haipatikani Darasani .
lazzima uhenye . Walisoma miaka 4. hawakupewa CPA T
Hivo basi Anna ni Trainned Accountant cum Auditor lakini sio kiwango cha CPAT
naweza kumwita APPROVED ACCOUNTANT
Prof Ndunguru bado yuko hai mzimaaaaa! Tulipokuwa chuoni miaka hiyoooooo ya sabini na ushee inasemekana huyu mama alikuwa mchumba wake, lakini kwa bahati mbaya mambo hayakwenda kama yalivyopangwa. Ila Prof alioa mwanamke mwengine wa kabila moja la Kaskazini mwa Tanzania.
Mimi mwenyewe nilihudhuria hiyo harusi ya Prof na huyo mke wake wa sasa.
Ila mama Makinda ni mchapa kazi na asihukumiwe kwa kosa lililotokea miaka zaidi ya thelathini nyuma. Aangaliwe alivyo hivi sasa kwa maoni yangu ni mtu mwenye heshima yake hana maskandali. Ingekuwa ni mama maskandali basi hapo bungeni pangekuwa moto na wengi wangekwisha jitokeza kujipendekeza.
Superman,
I wish tungekuwa na waandishi wanaoweza kuchimba vitu kwa undani kama ulivyofanya hapo juu. Najua watu wengi watadhani ulikuwa na lengo la kumchafua huyu mama, lakini kwa wale wanaoangalia mbali watajua ya kuwa ulikuwa unataka kumjua huyu mama kwa undani. Nimefurahishwa na maswali yako, ambayo kama mtu akiyaangalia kwa juu juu hawezi kuona umuhimu wake. Ni kweli huyu Mama amekuwa public servant kwa muda mrefu, lakini maisha yake na accomplishments zake ni kitendawili kwa Watanzania wengi. Topic hii imeniwezesha kumjua huyu mama kwa kiasi fulani...
Nitajibu maswali mawili hapa.
Nimefanya kazi na Anna Wilson Makinda miaka ya 1980s, namjua kidogo. Nimewahi kufika kwao wakati baba yake alikuwa hai, na pia mara moja baada ya baba yake kufariki miaka ya 1990s. Baba yake aliwahi kuwa mkuu wa mikoa kadhaa, nakumbuka Tabora, Ruvuma, Tanga, wakati wa Mwalimu JKN.
Anna hajawahi kuolewa, na wala hana mume sasa. Ana mtoto mmoja wa kike, alizaa na Bwana mmoja (nadhani jina ni Ndunguru) ambaye alikuja kuwa Prof pale SUA. Nadhani ni mtu wa Songea au Ruvuma.
Last time kuonana naye, aliniambia binti yake yuko Marekani na kaolewa na mtu wa huko (siyo m-Tanzania), ila hakusema kama ni mzungu au mweusi. Na mimi sikuuliza.
Anna hana CPA lakini ni trained Auditor na ni mzuri sana katika hiyo kazi.
Ni dada mmoja mwenye heshima sana, uelevu na si msahalifu, hiyo ni ki-binafsi.
Ki-siasa ana mtazamo na msimamo mwingine ambao wakati mwingine unaweza kukuacha unakuna kichwa.
Namtakia mafanikio mema, na nina imani hii kazi ataiweza vizuri tu.
Duh, Kama ni nduguru basi huyo bintiye atakua anaitwa Neema Ndunguru, alimaliza masters kule university of cape town, political science au mambo ya development studies, mwaka juzi nadhani.A pretty much smart young lady, amecontribute pia kitabu kilichoeditiwa na chambi chachage, another smart thinker, kuhusu Nyerere. Wamefanana kweli na huyo mama. Angalizo: naweza kuwa siko sahihi labda ni wa huyo mama wa ndoa. Ila wamefanana sana na makinda...
Eeeeh Bwana Wee, huyu Ngunangwa ndo yule alinayejulikana kama Chief Ngunangwa? Ni huyu baadaye alikuwa ubalozini Marekani miaka ya 90's?