From my heart anna makinda hafai kuwa spika wa bunge hili,
lakini nawashukuru mafisadi kwa kutimiza malengo yao ya kumuondoa former speaker samwel sitta, imeniuma sana,
na hapa ndipo itakapo dhihilisha kuwa wanawake hawafai kupewa madaraka makubwa. I tell you makinda yupo pale kulinda masilai ya mafisadi amini usiamini......................
Mwenye maamuzi pale ccm ni mafisadi, kikwete yupo tu kama kivuli, believe me or not!! Ccm itakua salama pale tu watapokuwa wameondoka lowassa, rostam, kikwete, chenge na wengine wengi....................
Narudia tena kusema makinda hana uwezo wa kuongoza bunge hili, si mlimuona alivyokuwa mbabaishaji bunge lililopita?