Anne Semamba Makinda's Profile!

Hivi Board Membership ni "Employment"?

BTW: Kumbe Anne amehusika na kuua mashirika mengi sana!

Mama Makinda amekuwa Board member kwa mashirika zaidi ya sita (6) kwa wakati mmoja 1976-1983 (NBC, TRC, Elimu Supplies, Tanzania Legal, Mbeya Textile,National Textile, e.t.c) sasa mtu kama huyu hata kwenye Board meeting anaweza kuwa active na kuchangia ipasvyo b'se apart from all these responsibilities alikuwa na permanent responsibilities za kumuweka bussy, kwasababu Board member unahitaji kuifahamu vizuri shirika na performance yake.

Mashirika haya ilikuwa lazima yafe kwa staili hizi za kumpa mtu mmoja kofia nyingi wakati wengine wakitembea kichwa wazi.
 
Jee kama yeye aliona ya kwamba hawezi kuwa mfanisi kwa kuongoza sehemu zaidi ya mmoja kwa nini akuomba kujiuzuru? Haya mashirika yote yamekufa wakati yeye akiwa muangalizi wa utendaji wa uongozi wa haya mashirika. Jee swala kama hilo tunaliangaliaje? Jee huyu mama ni mjengaji?

Ni wazi kabisa hakuna jipya ambalo yeye au CCM wataleta kwenye 2010-2015 bunge. CCM wamemchagua huyu mama kuhakikisha hakuna Richmond au EPA issue kuja kwenye floor ya bunge. Issue zote contriversial ziishie kwenye magazeti na sio kwenye Bunge. Hili ni swala ambalo CCM wameliona, na wamechagua wa kulikomesha. Swali linabaki jee chaguo lao ni sahahi? The time will tell.
 
Back
Top Bottom