Anne Kilango Malecela awa bubu ghafla

Namnukuu Anne Kilango katika moja ya mchangoa aliotoa bungeni kwa hisia zidi ya Mafisadi

''''' HakyaMungu Mheshimiwa Spika tusipopata majibu juu ya ufisadi Bungeni patachimbika!!!!!''' Mbona hapajachimbika mpaka leo na majibu ya ufisadi bado!!
Hakuna jipya kwa wabunge wa CCM!
 
aaaaahhhh alifikiri kwa kuongea sana na kutetea visivyotetewa,mwanae atapata ubunge wa Afrika Mashariki.

Baada ya kupoteza pesa nyingi,na mtoto kushindwa amekuwa na hasira sana.

eti uyu josephine ndo alitk awe firstlady!!chek mipasho yake ovyooooo.
 
- Ujumbe umefika, hayo mengine ni siasa as usual cha muhimu ilikuwa somo kueleweka, na inaonyesha limeeleweka!

RESPECT!

William @ DSM City!
hata hivyo pole na sarakasi za dodoma...mwambie mama akija huku milimani asifikiri kuwa watu huku hatujasoma tunalima tangawizi na tumepiga kitabu vile vile
 
Katishiwa Nyau huyo,hamna kitu.Huo ububu sijui kazi ya Maji Marefu?!Pole sana dada yangu.Watakuua.
Namnukuu Anne Kilango katika moja ya mchangoa aliotoa bungeni kwa hisia zidi ya Mafisadi

''''' HakyaMungu Mheshimiwa Spika tusipopata majibu juu ya ufisadi Bungeni patachimbika!!!!!''' Mbona hapajachimbika mpaka leo na majibu ya ufisadi bado!!
Hakuna jipya kwa wabunge wa CCM!
 
kitu gani hapo kadanganya? kwanza vaa mavadhi ya heshima ndio uje hapa tuongee unamuonyesha nani mapaja yako hapa

mkuu kama umeishiwa hoja kajisaidie ukalale...mavazi yangu sio mjadala tulionao..uyo josephine mbona anavaa visuluali vya kubana makalio!!
 
hata hivyo pole na sarakasi za dodoma...mwambie mama akija huku milimani asifikiri kuwa watu huku hatujasoma tunalima tangawizi na tumepiga kitabu vile vile

- Sarakasi za Dodoma hazikuwa sawa na kuvuka Bermuda Triangle, tena mara tatu nikiwa Baharia, nimeingia siasa za bongo in only three months, nimeweza kufika hatua ya mwisho kitu ambacho wengi waliokuwepo kabla yangu wameshindwa, so tupo kwenye the right track na subira huwa inavuta heri.

- Somo kuhusu mama naona limeeleweka sana sina sababu ya kulirudia tena, saa ya kulala sasa unajua tena mkuu wangus!

Willie @DSM City!
 
Kuna mdau humu jf alileta mada na kusema hoja ya kumng'oa pm sio ya chadema bali ni ya watanzania wote alishambuliwa sana na kuonekana kituko wachangiaji wengi walichangia kwa kwa mapenzi ya chama na si ya nchi. Mambo kama haya ya ubinafsi ya kusema hiki ni cha kina fulani na si chetu ndio kinachotukosti.
 
Anapendaga kusema na akionesha ishara ya kujikata shingo kwa kidole 'na haki ya MUNGU naapa....' huku akitokwa na jasho usoni na mishipa shingoni! Leo mungu kampa platform ya kuonesha genuinness ila kumbe hewa tu. Ah atoke apa anaboa.
 
- Sarakasi za Dodoma hazikuwa sawa na kuvuka Bermuda Triangle, tena mara tatu nikiwa Baharia, nimeingia siasa za bongo in only three months, nimeweza kufika hatua ya mwisho kitu ambacho wengi waliokuwepo kabla yangu wameshindwa, so tupo kwenye the right track na subira huwa inavuta heri.

- Somo kuhusu mama naona limeeleweka sana sina sababu ya kulirudia tena, saa ya kulala sasa unajua tena mkuu wangus!

Willie @DSM City!

Ego trippin kama kawaida yako ilhali hujang'amua nini kikulacho (hint: your gargantuan ego inayotegemea jina kubwa na mgongo wa babako). Halafu umepitwa na wakati kwa sana mkuu! Ubaharia ulikuwa big deal enzi zangu za primary ambapo Wabongo walikuwa wakizamia meli za Kigiriki wakiwa tayari kuliwa tigo ili mradi wafike Ulaya. Leo hii ukimwambia mtu ulikuwa baharia anakuona kaa shoga fulani tuu. Kudaadeki!
 
yeye na matayo lazima wang,oke upareni,,,,,,,wanatia aibu wapare wanaonekana vilaza kilimanjaro,,shame,,shame,,shame,,,,,,,,,,,,,,,,wameidumaza upare,,,,wapare wamepoteza heshima mikononi mwa watu hawa,,,,,nchi ile imepauka,,vijana wamepoteza nuru,,,wazee ni mburi tu,,,,kina mama ni bendera fuata upepo,,,,,wakipewa kanga na chai ni vigelegele kutwa na kusifia ujinga shauri ya shida,,,,,,,upare amkeni,,,,hacha,,,hariiika nresari,,,,,,,,,mpaka lini.....
Ni kweli kabisa hawa wabunge wa same wote wawili kazi kugawa sukari huko vijinini na mahindi ili wapare wawaone wanawasaidia. Same amkeni hacha muishwa ni vaghenji.
 
Katika hali ya kustaajabisha Mbunge machachari wa CCM amekua bubu ghafla kwenye hoja ya kuwajibisha mawaziri wabadirifu kwa kutokoenekana katika mijadala hata ya kuweka saini kama kweli alikosa nafasi ya kuongea.

Je ni kweli mbunge huyu yupo tayari kumvisha Paka kengele au yupo tayari kutetea Paka asivikwe Kengele.Tuaomba afunguke kama kweli yupo na dhamira ya dhati ya kupambana na Mafisadi...

Msimamo wake upo wapi...Same Mashariki tunasubiri sauti yetu kupitia wewe....

Mkwereeeee ndio anawapotosha!
 
Yule mama bwana kazi yake kupanua domo tu na kulowanisha watu kwa mate kumbe si chochote! Kimyaaaaa! Lembeli pia sijaona mkono wake. Kigwangala na Ole Sendeka mikia imewashuka usipime!
 
Katika hali ya kustaajabisha Mbunge machachari wa CCM amekua bubu ghafla kwenye hoja ya kuwajibisha mawaziri wabadirifu kwa kutokoenekana katika mijadala hata ya kuweka saini kama kweli alikosa nafasi ya kuongea.

Je ni kweli mbunge huyu yupo tayari kumvisha Paka kengele au yupo tayari kutetea Paka asivikwe Kengele.Tuaomba afunguke kama kweli yupo na dhamira ya dhati ya kupambana na Mafisadi...

Msimamo wake upo wapi...Same Mashariki tunasubiri sauti yetu kupitia wewe....

hana lolote anapenda kujionyesha kuwa anapambana sisi wa same tunamwelewa.
 
mkuu kama umeishiwa hoja kajisaidie ukalale...mavazi yangu sio mjadala tulionao..uyo josephine mbona anavaa visuluali vya kubana makalio!!

Halafu ww mbona huvai chupi siku nyingi.... Unarahisisha short time eeehhh.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom