- Heshima mbele sana mkuu, naomba kuweka hii habari yako inapotakiwa: Mh. Anne Kilango amekuwa nje ya Bunge toka Jumatano, alikwenda jimboni kwake kusimamia matayarisho ya mwisho ya kufunguliwa kwa kiwanda alichokisimamia sana toka mwanzo wake cha Tangawizi, ambacho kinatazamiwa kufunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri hivi karibuni, baada ya kutoka Same East, ameruka moja kwa moja kwenda US, kutafuta malighafi zaidi za kiwanda hicho kipya kitakacholisaidia sana jimbo la Same East, na anatarajiwa kurudi nchini mwisho wa wiki ijayo.
- Kwa hiyo ninajua kwamba habari yako hii ni misguided tu na ni misinformed au ndio ule ule utabiri wa waganga wetu wa kienyeji, ila haina hata chembe moja ya ukweli, Mh. Anne Kilango amsimamia hoja ya Ma-DC peke yake wala hakuhitaji saini ya mtu yoyote, hawezi kukimbia ishu ndogo na very clear kama hii!
MUCH RESPECT!
William @DSM City!