Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,413
- 27,291
Ndo lengoIli nitishiwe gunia la mkaa 😂
Ndo lengoIli nitishiwe gunia la mkaa 😂
Pamoja na Unaa wote na mimi hii sijaicheki.Dragon Ball Z sijaichek na yenyewe 😃😃
Nina kalist karefu kwel😃😃
Adi Lamine Yamal Amenipita kwel😃😃
Master na wewe hujachek😃😃🙌🙌🙌🙌Pamoja na Unaa wote na mimi hii sijaicheki.
Pia Naruto na Bleach niliishia njiani.
n dude kale japo halina story 😁Dragon Ball Z sijaichek na yenyewe 😃😃
Nina kalist karefu kwel😃😃
Adi Lamine Yamal Amenipita kwel😃😃
Sasa huwa nikiangalia poster zake hata vibe ya kuangalia haipon dude kale japo halina story 😁
naruto &bleach n kali ila usijecheki boruto n 🚮Pamoja na Unaa wote na mimi hii sijaicheki.
Pia Naruto na Bleach niliishia njiani.
🤣 ila n 🔥Sasa huwa nikiangalia poster zake hata vibe ya kuangalia haipo
Inabidi niiweke kwenye List na hii Mtaalam.Master na wewe hujachek😃😃🙌🙌🙌🙌
Alafu naona inapendwa kwel Fan base yake huwaambiii kitu
Nikikosa nitaangalia🤣 ila n 🔥
Alafu ya kitambo kwel 89 kabisa hukoInabidi niiweke kwenye List na hii Mtaalam.
Maana hii nayo huko mitandaoni huwa inasepa na Kijiji.
Duuuuh, kitambo Sana.Alafu ya kitambo kwel 89 kabisa huko
🤣 bersek ushawah ichekNikikosa nitaangalia
Au siku Lamine Yamal akishinda Uefa nitaenda kuichek🤣🤣
Anime mwenzake Manga zinatoka Japan,Habari wana Jamii Forums!
Nimekuwa nikifuatilia sana mijadala hapa JF, na nimegundua kuna uhaba wa mada kuhusu Anime na Manga, hususan zile za Kijapani. Mimi ni mgeni kwenye ulimwengu huu, nimeanza kuangalia Anime mwaka 2024 na nimezipenda sana! Nilishangaa sana kuona hakuna mada rasmi kuhusu hili hapa JF hadi leo.
Kwa wale ambao hamjui, Anime ni filamu za katuni zinazotengenezwa nchini Japani. Zina mtindo wa kipekee wa michoro na hadithi mbalimbali, kuanzia vichekesho, kusisimua, mapenzi, hadi sayansi. Manga kwa upande mwingine, ni vitabu vya katuni au riwaya za picha za Kijapani ambazo mara nyingi huwa ndio chimbuko la hadithi za Anime.
Kwanini Anime Inavutia?
Kuna mambo mengi yanayofanya Anime ivutie:
* Hadithi Pekee: Zina hadithi za kusisimua na zenye undani, zinazokuvuta na kukuweka mtegoni.
* Wahusika Wenye Undani: Wahusika wake huwa na maisha halisi, matatizo, na ndoto, unajikuta unaelewana nao kirahisi.
* Ubunifu wa Michoro: Michoro ni ya kipekee na yenye ubunifu wa hali ya juu, inakupa picha halisi ya matukio.
* Maadili na Mafunzo: Mara nyingi zinafundisha maadili na masomo muhimu ya maisha.
Mifano ya Anime Maarufu Zilizoshinda Tuzo
Kuna Anime nyingi zilizofanya vizuri na kutambulika kimataifa. Baadhi ya hizo ni pamoja na:
* Spirited Away: Imeshinda tuzo ya Oscar kwa Filamu Bora ya Uhuishaji.
* Your Name. (Kimi no Na wa.): Imepokea tuzo nyingi na kuvunja rekodi za mapato duniani.
* Demon Slayer: Kimetsu no Yaiba: Imeshinda tuzo mbalimbali ikiwemo "Anime of the Year."
* Attack on Titan: Maarufu sana kwa hadithi yake tata na yenye kusisimua.
Nimeona inafaa kufungua mada hii ili tupate nafasi ya kujadili na kushiriki uzoefu wetu kuhusu Anime na Manga. Karibuni sana tushiriki mawazo, tuulizane maswali, na kupendekeza Anime/Manga nzuri!
Je, kuna wengine hapa mnaopenda Anime
? Tuanze mjadala!
View attachment 3411124View attachment 3411125View attachment 3411126View attachment 3411127View attachment 3411128
naamAnime mwenzake Manga zinatoka Japan,
Donghua mwenzake Manhua zinatoka China
Aeni mwenzake Manhwa zinatoka Korea Kusini
Japo Solo leveling ni Anime (imekuwa animated Japan) ila original ni Manhwa ya Korea, pengine popular Manhwa ever. Same kwa nyengine kama God of High school, Tower of God, Windbreaker etc.
Manga Nyingi zinakua Black and white baadae zinakuwa za rangi kwenye Anime na anime nyingi ni 2D, Manga na Anime nyingi zinakua Deep, Anime kama one piece toka 1999 hadi leo ina endelea same kwa popular Anime kama Naruto, bleach, dragon ball etc.
Manhwa ni recent hawa jamaa hawana Aeni nyingi, budget zote wanamalizia kwenye Manhwa, zenyewe ni za kisasa mfumo wa webtoon na zinasomeka vizuri kwenye simu tofauti na manga zinazohitaji tablet ama kifaa maalum cha kusomea.
Manhua na mwenzake Donghua ni wachina, wazee wa quantity, hizi zipo nyingi mno na Animation zao ni 3D ila not necessarily quality kubwa over 2D za Anime, popular Donghua ni kama soul land series, throne of seal, will eternal etc.
Kuongezea Hizi zina apps ambazo ni open source za video Kama Aniyomi na forks zake kama animiru na za kusomea Mihon na Fork zake kama Tachiyomisy, Komikku etc unasoma na kuangalia bila ads na mfumo ambao upo clean kufuatilia bila kusahau ulipoishia.
Quality yake ndo inanipa wasiwasi😃😃Duuuuh, kitambo Sana.
Bado mkuu🤣 bersek ushawah ichek
Anime sio za watoto, jiroge muachie mtoto wako aziangalie, at minimum ni teenagers anime nyingi zina focus kwenye Hilo rika, na Zipo anime ambazo ni kwa ajili ya matured audience.Jumatatu shule nyie watoto
Aah umenipa Elimu...Anime mwenzake Manga zinatoka Japan,

👍Bado mkuu