Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Kaiju No 8 imetulia sana. Kwanza kuanzia ty characters wake, story kila kituKAIJU No. 8 hiyo niligusa tu nijajikuta nimemaliza episodes zote,
😃😃😃Sema niliangalia ile series yake walitoa...Siku unajitoa akili tu, unaanza January hadi December mbona inaisha vizuri tu. Kila siku episode tatu 😂😂
Aah watu wa anime nadhan copyright sio tatizo sana kwaoNi kweli kwenye Anime website zipo nyingi na hazina hata dalili ya kufungiwa 😅
Umenikumbusha nimalizie haikyu😃Pia unaweza ku Opt Telegram.
Huwa hawakosi Anime wale Jamaa kuanzia 480p, 720p na 1080p.
Hii kama mtu atakuwa nayo nitaichukua tuu nadhan nitapataUwe unashusha kila Wiki episodes 5.
Attack on Titan ni kama Game of thrones kwenye ulimwengu wa Anime😃😃inaanza pale juu kabisa na nyingine ndo zinafataMkuu kwangu Mimi hii Haina mpinzani japo Kuna anime nyingi bado sijazicheki
Mwendelezo nadhan mwaka huu...KAIJU No. 8 hiyo niligusa tu nijajikuta nimemaliza episodes zote,
3D animation tatizo ni single na kali zinaachiwa chache chache sana...It depends on you
Ila naona BORA 3D ANIMATION
Nimeyachoka kuyaangalia ma Animes
Anime ina series nyingi3D animation tatizo ni single na kali zinaachiwa chache chache sana...
Ila wote nadhan tulianzia na 3D Animation kabla ya kuja huku kwenye Anime
Reuben Challe hii message iweke pale mwanzoni kabisa mkuuPia naongezea na hizi hapa kwa ambao hawajaziona.
Hizi ni za Genres tofauti tofauti, ambazo sijaziona hapa ni hiyo Shangri La Frontier na Blue Lock.
Shangri naona inatajwa sana na Pia
Blue Lock nayo inazungumziwa sana, hii ni ya Football.
1. Black Clover.
2. Wind Breaker.
3. Death Note.
4. Demon Slayer.
5. Tsumikichi moon Fantasy.
6. Haikyuu.
7. Blue Lock.
8. The Saga of Tanya the Evil.
9. God of Highschool
10. Shangri la Frontier.
11. Spy X Family.
12. Classroom of Elite.
cheko na kutembea kwake 🤣Namuona mwamba Donquixote Doflamingo kwenye DP yako hapo.
Huyu mtaalam nampa respect sana kwenye One Piece.
One of the Strongest Pirates.
Japo yupo Kule gerezani Impel Down. Ila bado namuona ni bonge moja la Threat.
Ukishatoa One peace mwingine anayenitia uvivu ni Black Clover 😃😃ila hii ngoja nijikaze week ijayo niishushe nianze mdogo mdogo episode 100+ sio pow😃😃Pia naongezea na hizi hapa kwa ambao hawajaziona.
Hizi ni za Genres tofauti tofauti, ambazo sijaziona hapa ni hiyo Shangri La Frontier na Blue Lock.
Shangri naona inatajwa sana na Pia
Blue Lock nayo inazungumziwa sana, hii ni ya Football.
1. Black Clover.
2. Wind Breaker.
3. Death Note.
4. Demon Slayer.
5. Tsumikichi moon Fantasy.
6. Haikyuu.
7. Blue Lock.
8. The Saga of Tanya the Evil.
9. God of Highschool
10. Shangri la Frontier.
11. Spy X Family.
12. Classroom of Elite.
Zipo za kutoshaAnime ina series nyingi
Tatizo 3D kali zinatoka chache kwa mwaka na nyingi ni single so ukiangalia chap tu inaisha. Halafu ni nadra sana kukuta zina maudhui kama ya Anime kama demon hunting, violence, killings, Actions nk.It depends on you
Ila naona BORA 3D ANIMATION
Nimeyachoka kuyaangalia ma Animes
Mwamba alikuwa anazingua sana😃😃Kaiju No 8 imetulia sana. Kwanza kuanzia ty characters wake, story kila kitu
Hibino Kafka alikuwa mpole na mwanzo walikuwa wanamdharau bila kujua kuwa yeye ni Kaiju na ana nguvu kuliko wote hapo
Nimependa episode ya 12 ilivyoishia, kila mtu anafurahia Hibino Kafka hajadhuriwa na mamlaka