Binafsi Anime yangu pendwa ni Ippo Hajime Makonouchi hii hata week iliyoosha nimetoka kuiludia ...
Japo sidhani kama watatoa mwendelezo wake nipo nasikiliza watoe manga ya mwezi huu hapa niliishia sehemu nzuri sana
Baada ya hapo Attack On Titan ipo kwenye ratiba zangu nikiboeka tuu naangalia namkubali sana mwamba wangu Levi Ackerman na kichaa wake Hange
View attachment 3411213
Solo Leveling Mwaka huu walijua kutushika Season 2 imekuwa ya moto mno...
Nipo nangojea Kaiju No 8 niliambiwa mwezi huu wataachia