Anime

Anime

Binafsi Anime yangu pendwa ni Ippo Hajime Makonouchi hii hata week iliyoosha nimetoka kuiludia ...

Japo sidhani kama watatoa mwendelezo wake nipo nasikiliza watoe manga ya mwezi huu hapa niliishia sehemu nzuri sana

Baada ya hapo Attack On Titan ipo kwenye ratiba zangu nikiboeka tuu naangalia namkubali sana mwamba wangu Levi Ackerman na kichaa wake Hange
levi-attack-on-titan.jpg

Solo Leveling Mwaka huu walijua kutushika Season 2 imekuwa ya moto mno...

Nipo nangojea Kaiju No 8 niliambiwa mwezi huu wataachia
 
Utanipa link nishushe anime ikishakuwa na Rating ya 9.5 itafute ndo yale yale ya Attck on Titan unakesha week nzima
Link hiyo
Hii wanaifanya kama Solo Leveling kila week episode moja. Sasahivi ina episode mbili tayari, kesho nahisi inatoka episode ya 3. Kali kinoma
Pia ukitumia app ya Anilab aliyoitaja Paz3i huko juu, unaikuta Gachiakuta sema tu Anilab nimeijaribu sahiz ina ads na yenyewe, ila anime nyingi zipo
 
Anilab wanaruhusu kudownload??
 
Binafsi Anime yangu pendwa ni Ippo Hajime Makonouchi hii hata week iliyoosha nimetoka kuiludia ...

Japo sidhani kama watatoa mwendelezo wake nipo nasikiliza watoe manga ya mwezi huu hapa niliishia sehemu nzuri sana

Baada ya hapo Attack On Titan ipo kwenye ratiba zangu nikiboeka tuu naangalia namkubali sana mwamba wangu Levi Ackerman na kichaa wake HangeView attachment 3411213

Solo Leveling Mwaka huu walijua kutushika Season 2 imekuwa ya moto mno...

Nipo nangojea Kaiju No 8 niliambiwa mwezi huu wataachia
Sema mimi Anime nyingi sijaangalia aisee. Ushanitamanisha kuangalia hiyo Attack on Titan
Ila hii Kaiju No 8 nayo kali mno, ndio ilikuwa mara ya kwanza Anime kunisikitisha, pale ambapo Hibino Kafka amekamatwa kisa ni Kaiju kuna scene pale Kafka alilia, niliifeel moyoni kabisa😅😅
 
Attack on Titan ilinifanya nikeshe😃ile story walisuka bhana😃😃
 
Back
Top Bottom