Anime

Anime

Yeah ni trash, niliacha kuifuatilia
Screenshot_20260718-232211_MovieBox.jpg
mkoko huu apa mkuu
 
Kaiju season two sijaangalia sina mzuka nayo sana au kwa vile nilisoma Manga yake....


Lakin hata Solo Leveling nilisoma pia ila ilivyoanza kutoka niliichek yote
Kaiju nimeona ni nzuri kuizidi solo leveling sijui kwanini
 
Hii black clover inaishaje... Asta atakua wizard king au Yuno??
Asta mwishoni ndo anatangazwa kama wizard King na yuno anabaki kuwa best worries kwa wapambanaji lakini hakuwa wizard King.

Asta na Yuno mwisho wanapambana.
 
Kaiju nimeona ni nzuri kuizidi solo leveling sijui kwanini
Kaiju ni funny story haipo serious sana 😃😃😃

Solo leveling ni next level alafu kuanzia season two jamaa anapokua S rank
 
Asta mwishoni ndo anatangazwa kama wizard King na yuno anabaki kuwa best worries kwa wapambanaji lakini hakuwa wizard King.

Asta na Yuno mwisho wanapambana.
Bora maana naona odds zinamfavour Yuno nikasema sisi team asta tutaweka wap sura zetu akiwa wizard king yuno😃😃
 
Now dearth note ndo anime best kwangu naipin at the top 📌
Ngoja nimalizane na Black clover then nianze nayo...


Black clover imefikia stage ya kunifanya nianze kukesha😃

Anime ya kwanza na ya mwisho kuchukua usingizi wangu ilikua ni Attack on Titan naona black clover ilipofikia usingizi wangu unaenda
 


Hii nyimbo nimekuja kufuatilia kumbe Yuji alikua anamuaga jamaa yake Megumi kuwa anaenda kupambana mara ya mwisho hata akifa fresh🙌

Lyrics nzito sana ni Sad ending kwel kwel
 
Back
Top Bottom