Anime mwenzake Manga zinatoka Japan,
Donghua mwenzake Manhua zinatoka China
Aeni mwenzake Manhwa zinatoka Korea Kusini
Japo Solo leveling ni Anime (imekuwa animated Japan) ila original ni Manhwa ya Korea, pengine popular Manhwa ever. Same kwa nyengine kama God of High school, Tower of God, Windbreaker etc.
Manga Nyingi zinakua Black and white baadae zinakuwa za rangi kwenye Anime na anime nyingi ni 2D, Manga na Anime nyingi zinakua Deep, Anime kama one piece toka 1999 hadi leo ina endelea same kwa popular Anime kama Naruto, bleach, dragon ball etc.
Manhwa ni recent hawa jamaa hawana Aeni nyingi, budget zote wanamalizia kwenye Manhwa, zenyewe ni za kisasa mfumo wa webtoon na zinasomeka vizuri kwenye simu tofauti na manga zinazohitaji tablet ama kifaa maalum cha kusomea.
Manhua na mwenzake Donghua ni wachina, wazee wa quantity, hizi zipo nyingi mno na Animation zao ni 3D ila not necessarily quality kubwa over 2D za Anime, popular Donghua ni kama soul land series, throne of seal, will eternal etc.
Kuongezea Hizi zina apps ambazo ni open source za video Kama Aniyomi na forks zake kama animiru na za kusomea Mihon na Fork zake kama Tachiyomisy, Komikku etc unasoma na kuangalia bila ads na mfumo ambao upo clean kufuatilia bila kusahau ulipoishia.