Anguko sasa ni dhahiri

Usifanye juhudi za kijinga za kuwatoa watu kwenye mada husika...kama unaona kuna hilo hitaji unaweza tu kulianzishia mada

Kamanda huo nakupa ushauri wa bure. Agenda yenu kubwa bado ni ukuta na kwa mujibu wa Mwenyekiti maandamano yenu ni 01/10. Sasa Mwenyekiti naye kwa sasa anagombana na baba mwenye nyumba. Ndio maana ushauri wa huu ni muhimu sana kwenu, tunzeni nguvu ili msije pata kisingizio cha kuahirisha tena. Magufuli yuko kazini na nchi inaenda inavyotakiwa.
 
Asante sana kwa ushauri sina kikwazo cha kupokea ushauri hata uwe wa kipuuzi kiwango cha lami
 
Mshana nimekuelewa vibaya sana hadi mwili umesisimka. Ubarikiwe sana kwa kueleza ukweli. Japo wapi watakaosema
Usipende kutuletea mawazo mgando na fikra zinazotokana na inferiority complex.
jifunze kuweka akiba ya maneno.
 
Asante sana kwa ushauri sina kikwazo cha kupokea ushauri hata uwe wa kipuuzi kiwango cha lami

Na pia ianzishwe harambee ya kusaidia kulipa deni la baba mwenye nyumba. Maana Mwenyekiti anaadhirika.
 
Na pia ianzishwe harambee ya kusaidia kulipa deni la baba mwenye nyumba. Maana Mwenyekiti anaadhirika.
Usihemke sasa! Usipate mzuka umeshaongea nimekusikia turudi kwenye mada husika sasa
 
Sasa tunaenda vizuri sana....ni nani anapata madaraka gani kwa vigezo gani na kwa sababu zipi? Na je anakuwa ameandaliwa au kakurupushwa tu na kupewa mikoba asiyoweza kuibeba?
Kwa mimi neno "kukurupuka" ni jipya katika medani ya kisiasa na sijui maana yake labda ukinisaidia ndo naweza kuchangia hoja yako mpya uliyoijenga kwa hayo maswali.
 
Sasa hivi kweli inafichwa. Jana murugenzi bandari kasema ukweli kwenye kamati ya bunge. Japo anaweza kufukuzwa kwenye nafasi yake kwa kusema ukweli lakini hali nu mbaya. Bado matamko yenye kuhamasisha chuki na ubabe kwenye sheria yanapigiwa makofi na vigelegele.
 
Umeandika mengi sana lakini hata sijui umeandika nini na hata nikikwambia nifafanulie ulichoandika utaishia kutoa macho kama si vijembe

Fafanua ulichoandika wewe kwanza, siku zote huwezi elewa mawazo tofauti na yenu. Nyie ni loosers na hamuwezi toa credit wala dictate terms nyie subirini muambiwe, muelekezwe na muamrishwe nini cha kufanya ndio anguko lenu.
 
Yani kinachoumiza zaidi wakina Pengo na Mufti wanazidi "kumkenulia gego" tu, hivi tutegemee nini hapo?
 
Watawala wengi wasiopenda kushauriwa na wananchi na viongozi wengine waandamizi katika serikali zao wameshindwa kuongoza mataifa yao na matokeo yake ni
1.kupata majaribio ya kupinduliwa mara kadhaa mf.Mugabe,Nkuruzinza
2.Kufifisha uchumi wa nchi mf.Mugabe mungu mtu wa zimbabwe na Yoweri museveni maana museveni akikutana na washauri wake yeye ndiye anayewashauri na sio yeye kushauriwa.
3.Kuhama katika mfumo uliopo na kwenda katika mfumo mwingine mf.Kagame amebadili katiba ili aendelee kutawala,sisi nahisi tunaelekea kwenye UDIKTETA maana kagame yumo katika list ya madikteta Africa.
4.Kutowathamini wananchi kwa kila wanalolilamikia na wao kukaa kimya mf.Magufuli watu wanalalamika hali ya maisha sio nzuri bado yeye kakataza watu wasiajiriwe.
Uongo utakupa ushindi wa siku moja Ukweli utakupa ushindi moja kwa moja.
 
Kiukweli tunawabebesha wengine, Mungu na atujalie hekima ya kutambua makosa yetu na kumrudia yeye. Asante kwa Neno mkuu
 
Fafanua ulichoandika wewe kwanza, siku zote huwezi elewa mawazo tofauti na yenu. Nyie ni loosers na hamuwezi toa credit wala dictate terms nyie subirini muambiwe, muelekezwe na muamrishwe nini cha kufanya ndio anguko lenu.
Ungekuwa hujakielewa ungeniuliza in the first place hukufanya hivyo....!mimi sijakuelewa ndio maana nikakuomba ufafanuzi...hivi vingine ulivyoandika havikusaidii hata wewe mwenyewe
 
Poa poa mkuu.....tujadili kwa...mtindo huo....wa kujengana kifikra huku....ujumbe ukifika kwa ka muelewa...
 
"Heri wapatanishi; maana hao
wataitwa wana wa Mungu"


…kinyume cha maandiko hayo matakatifu,uenda nchi sasa inatawaliwa na mwana wa shetani…
 
Nikishika ile "mboga" nikaiweka kwenye mzani wenye uzito wa hayo mawe, naona ni jinsi gani ilivyo nyepesi kuliko hata mnavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…