Anguko la Mabenki nchini? CRDB yapata hasara ya Sh. Bilioni 2

Anguko la Mabenki nchini? CRDB yapata hasara ya Sh. Bilioni 2

BOT ineshidwa kufanya kazi yake ya kuwa mkopeshaji wa mabenkiya kibiashara na hivyo kufanya mikopo iwe ghali zaidi kutokana na gharama za amana ambazo benki hizi zinaingia kupata amana.
Pia kwa serikali kuhamisha pesa zote kwenye mabenki kumeatbiri ukopeshaji ili kuanzisha shughuli mpya za kiuchumi au kuendeleza zile za zamani. Importers wanategemea mikopo katika biashara zao huwezi kuangiza mzigo ukauuza same day i uweze kuagiza mwingine matokeo yake yanaenda kugusa sekta nyingine kama Bandari.
Kupata hasara katika mabenki kama nilivyosema hapo mwanzo biashara nyingi zimesimama uwezo wa kulipa mikopo ya wafanyabiashara hasa wadogo umekuwa mgumu hivyo mikopo imekuwa mibaya sheria za uendeshaji wa mabenki chini ya usimamizi wa BOT inazitaka benki kufuta mikopo mibaya kwenye vitabu vyake kupitia faida ili kuendelea kuwadai wakopaji wakati tayari wameifuta na pale wanalipa basi inaongezwa kwenye faida ya mwaka mkopaji huyu anapolipa.
Hii unaweza iona katika vitabu vya CRDB wamefuta mikopo mibaya ya almost 38billion ambayo ni wazi imepunguza faida kwa 38billion lakini hii inavifanya vitabu vyake kuwa safi na kutengeneza mkakati mpya. Jambo kama hili lilitikea miaka miwili iliyopita kwa NBC ambao walipata hasara ya kama 2billion kwa mwaka huo tofauti na Crdb wao bado kwa majumuisho ya kipindi cha robo tatu bado wanafaida ya zaidi ya 100 billion na uwezekano wa kupata faida zaidi kwa mwaka 2016 ni mkubwa kwasababu tayri sehemu kubwa ya mikopo yake mibaya ambayo inakula faida amekwisha ifuta kwenye vitabu vyake na kuwa deni la kawaida kwa wakopaji.

Ushauri:
1. Serikali kuzipa nafasi mabenki kutumia pesa wanazokusanya kutoka a maduhuri ya serikali kubaki huko ili waweze kukopesha au

2. BOT kufanya kazi ya kuyakopesha manenki ili nayo yaweze kukopesha kwa riba nafuu kwa wananchi na kukuza uchumi.

Tahadhari;
Kwa mabenki kushindwa kuwa na amana za kutosha kwa serikali kukimbizia makusanyo yote (ambayo commericial benki ndo wakusanyaji) itaua uwezo wa mabenki na hivyo ukusanyaji wa mapato ya serikali ukawa mgumu kwa vile BOT hawana matawi nchi nzima.

Pia serikali itambue mabe ki ni mshirika wake katika kujenga uchumi na hatua zizote za kudhoofiisha sekta hii ni kuua uchumi.

Mwisho kodi inaongezeka kwa kuwa na uwekezaji mpya hivyo serikali inatakiwa kuhamasisha uwekezaji binafsi i kuweza kuvuna kodi la sivyo tukimaliza kukusanya hizi Tax arrears tunatabaki hatuna cha kukusanya (hili limeanza kujitokeza utaona malengo ya umusanyaji wa mwezi October yatavyofikiwa kwa mbinde)
Mikopo mibaya inatokana na uzembe wa benki husika...either mikopo hewa au imetolewa mikopo kwa watu wasiokuwa na uwezo ili tu afisa mikopo apate 10%....halafu shida fedha za serikali zilikuwa zinawekwa kwa baadhi ya mabenki tu kama CRDB huku benki nyingine zinajiendesha kwa mitaji yao binafsi na wananchi hivyo dhana ya fair competition haipo....Cha muhimu ni CRDB irudi kwa wananchi itope product nzuri kuwavutia.
 
Vita Ni Mbinu
Bora Mtoto Wako Ashibe Halafu Aende Kucheza Kwa Jirani Wasikopika Chakula.
Serikali Inahakikisha Banks Binafsi Zinajifia Maana Zimeisumbua Kutakatisha Fedha Za Wizi
Nangoja Taarifa Ya Mkombozi Bank Nayo Wazee Wa Sanadarusi
 
Sasa wewe ndugu yangu, hivi unajua industrial production na productivity yake ya nchi hii? How financial market is stable katika nchi hii? Hatua za kuingilia mfumo wa kifedha zilibainishwa katika hotuba ya kwanza kwa Bunge. Sasa jiulize, analysisau study gani iliyofanyika katika kipindi kifupi hicho hata kuweza kutoa statement ya namna ile. The Economist waliposema tunaendesha mambo kwa mizuka (gestures) tuliwaona wanatutusi. Sasa kiko wapi.
Umeongea vitu vinavyo gongana, industrial production and productivity a whole county. Access to finance ilikuwa sawa wakati wa serikali zilizo pita because bank had easy access to either free money or cheap money ( in this case gov. money) by law the commercial banks are oblige to borrow from central bank kitu ambacho hawakifanyi. Most of the bank where interested with gov bond and gov. Deposit money because it was cheap and easy. They didn't want to borrow something which in the end they will be oblige to pay interest whenever they make profit or not. Sasa our productivity in our country is still low and there are many fuctors to that, one is easy access to the funds, ndio maana nikasema banks they need to be innovative in order to boots there balance sheet and lift the economy.
 
Hapa kazi tu! Jamaa anahifadhi fedha za taasisi zake za serikali Benki Kuu ambayo kimsingi haifanyi biashara ya fedha Bali kusimamia monetary policy. Matokeo yake money circulation nchini imedorora, na commercial banks zinalazima kukopa Benki Kuu. Hii imesababisha interest rates against loans kupanda sana. Wakopaji wanashindwa kukopa, hivyo investments nazo kudorora. Kwa mwenendo huu kwa nini nchi isiingie kwenye recession! Tuendelee kuimba " Hapa kazi tu" kiushabiki lakini kwa bahati mbaya uchumi haujui "ushabiki"
Hajui kwamba pesa inatakiwaga izunguke.
Azijaze huko BOT zitage
 
kwa hiyo na wewe kampuni yako ikiweka fedha benki,ukasikia benki inatoa mikopo kwa wingi,na wewe huwa zinakuuma?kwamba fedha zako zinaipa faida benki
Inaniuma kwamba riba waonipa mimi ya 1% au 2% kwa hela nilioweka benki sio riba wanaonitoza nikikopa kwao ambo ni 11% - 20% .
 
Wamepata hasara ya 2bn shs. Wewe unafikiri ni kwanini? Hilo ndio swali la mleta mada.

Mnapenda kuleta siasa katika kila kitu, hii hasara imepatikana kutokana na kuongezeka kwa gharama za uendeshaji. Siyo kukosekana kwa soko wala siyo kwa kupungua kwa cash deposits.

CRDB imepost almost 10% increase in income compared to the same quarter last year. Everything looks fine, I mean everything.

Come this year, third quarter salaries and benefits zime-jump kutoka 33bn to 48 bn 9 15bn increase in salaries and benefits).
Fees and commissions (coming from them) zimeongezeka by more than 8bn.

Other costs zimeongezeka by 6 bn from last year.

Total of 30bn shs zimeongezeka in costs, why?? That's the main question. Tatizo siyo kukosa biashara au mabo yenu ya kisiasa.
A SEE kuna mmoja humu kasema kuwa hii bank imepunguza wafanyakazi kutoka karibu 2800 mpaka 2400. Yaani hapa unaposema salaries zimeongezeka nami nashtuka kidogo. Hivi inawezekana wanachakachua hesabu kuwanyima stahiki yao ya dividends shareholders wao nini? Hilo swali lako limenishtua hili ongezeko la gharama limetokana na nini?
 
Umeongea vitu vinavyo gongana, industrial production and productivity a whole county. Access to finance ilikuwa sawa wakati wa serikali zilizo pita because bank had easy access to either free money or cheap money ( in this case gov. money) by law the commercial banks are oblige to borrow from central bank kitu ambacho hawakifanyi. Most of the bank where interested with gov bond and gov. Deposit money because it was cheap and easy. They didn't want to borrow something with in the end they will be oblige to pay interest whenever they make profit or not. Sasa our productivity in our country is still low and there are many fuctors to that, one is easy access to the funds, ndio maana nikasema banks they need to be innovative in order to boots there balance sheet and lift the economy.
Sijakusoma. Kwamba industrial productionna na industrial productivity ni terminology zinazogongana au productivity na financial sytem yetu?

Na unaposema "easy access to the funds" unamaanisha nini mkuu? Maana study nyingi za masuala ya financial accessibility kwa nchi za SSA zinaonyesha tofauti. Au?
 
Mikopo mibaya inatokana na uzembe wa benki husika...either mikopo hewa au imetolewa mikopo kwa watu wasiokuwa na uwezo ili tu afisa mikopo apate 10%....halafu shida fedha za serikali zilikuwa zinawekwa kwa baadhi ya mabenki tu kama CRDB huku benki nyingine zinajiendesha kwa mitaji yao binafsi na wananchi hivyo dhana ya fair competition haipo....Cha muhimu ni CRDB irudi kwa wananchi itope product nzuri kuwavutia.
Si wakati wote mikopo mibaya inatokana na uzembe mabadiliko ya mazingira ya kibiashara ya mkopaji yanasababisha kwa kiasi kikubwa kuharibika kwa mikopo.

Mikopo inatolewa kwa kuzingatia business projections katika kipindi cha mkopo kwa kuangalia past na existing performance. Inapotokea hali ya kibiashara kubadilika uwezo wa mkopaji unabadilika pia.
 
Vita Ni Mbinu
Bora Mtoto Wako Ashibe Halafu Aende Kucheza Kwa Jirani Wasikopika Chakula.
Serikali Inahakikisha Banks Binafsi Zinajifia Maana Zimeisumbua Kutakatisha Fedha Za Wizi
Nangoja Taarifa Ya Mkombozi Bank Nayo Wazee Wa Sanadarusi
ile ni benki ya kanisa katoliki lenye majimbo nchi nzima,parokia,vigango na makanisa na jumuiya elfu elfu.

zote zinatoa sadaka na kuhifadhi pesa mkombozi
 
we unajiona genius lakini ni hewa tu.....Pesa za mifuko ya jamii ni pesa za wanachama sio pesa za NSSF wala serikali...
Mosi, I never claimed anywhere that I am genius but what I've said, unaweza kuwa genius kwenye field ya uhandisi lakini kama mada inayoongelewa si taaluma yako; utaishia kuongea voroja kama ufanyavyo wewe... kwahiyo hapa genius ni wewe Engineer unayoleta viroja kwenye mijadala ya uchumi! Sorry nilitumia lugha iliyokuja kwa majahazi kwahiyo imekuwa ngumu kwako kuelewa... that's your problem and not mine!

Second, mbona hueleweki?? Punguza makelele ili ueleweke unaongea nini!!!! Dakika chache zilizopita umesema pesa za mifuko ya jamii ni za serikali na sasa hivi unageuka kudai si za serikali... vipi jombaa!!!
Hizo taasisi za serikali zilianzishwa na mitaji kutoka wapi? Yaani serikali itoe mitaji yake kuanzisha taasisi halafu pesa za taasisi hizo useme sio zake...
Dakika mbili baadae:
....Pesa za mifuko ya jamii ni pesa za wanachama sio pesa za NSSF wala serikali...
Ushasahau kwamba hapo mwanzoulidai
Hizo trilioni tano sasa ziko BOT serikali ikizitaka itaenda kuzichukua bila kutoa riba....
Hiyo TANESCO na hao akina EWURA wazitoe wapi hizo Trillion 5 unazodai serikali inaweza kuchukua bila riba?! Unaweza kunitajia mradi mmoja mkubwa ambao umewahi kufanywa na serikali kupitia pesa za TANESCO, EWURA, TANAPA and the like?
 
Si wakati wote mikopo mibaya inatokana na uzembe mabadiliko ya mazingira ya kibiashara ya mkopaji yanasababisha kwa kiasi kikubwa kuharibika kwa mikopo.

Mikopo inatolewa kwa kuzingatia business projections katika kipindi cha mkopo kwa kuangalia past na existing performance. Inapotokea hali ya kibiashara kubadilika uwezo wa mkopaji unabadilika pia.
Mabadiliko ya biashara hayawezi kusababisha mikopo kufutwa.....wanachoweza kufanya benki ni kumuongezea muda mkopaji au kupunguza kiwango cha marejesho mfano..badala ya kulipa 2M kila mwezi unapunguza mpaka labda 1M lakini mkopo uko pale pale.....
 
....halafu shida fedha za serikali zilikuwa zinawekwa kwa baadhi ya mabenki tu kama CRDB huku benki nyingine zinajiendesha kwa mitaji yao binafsi na wananchi hivyo dhana ya fair competition haipo....
Sasa ulitaka kwa mfano NHIF wawe na Revenue Account CitiBank wakati collection accounts zake zipo NMB halafu waongeze gharama za money transfer (interbank)? Ulitaka Revenue Account ya TRA iwe Stanbic wakati wanakuanya kodi hadi Namtumbo ambako hakuna Stanbic?
 
Kwa miaka mingi CRDB ilikuwa ikifanya biashara na serikali na hivyo kuwa na fedha za kiinimacho kwamba inafanya biashara safi na faidi inapatikana kila mwaka.

Na hata kupanua shughuli zake hadi Rwanda ni katika kuufahamisha umma kwamba ni benki inayoweza kuaminiwa.

Lakini nyuma ya pazia kulikuwa na ubadhirifu mkuwa na ufisadi kati ya wafanyakazi wa CRDB pamoja na wale watumishi waso waaminifu wa serikali.

Walichokuwa wakifanya ni kucheza na zile amana za serikali na pia baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo wakitumika kidhinisha mikopo hewa ya hadi milioni 300 ilhali thamani halisi ya mkopo au nyumba ni milioni 100-150

Hapo ndipo utaalam wa Dr Charles Kimei ambae ni mchumi wa kuaminiwa kupewa vyombo vya Fedha , unapoleta mashaka makubwa.
Mkuu serikali ilipochukua fedha zake kutoka Benki za Biashara na kurudishwa BOT Dr. Kimei alisema haitaathiri sasa ona hili.
 
oooops hebu nimpigie Prof. wangu wa ukweli HARUNA IBRAHIM LIPUMBA anieleweshe katika hili suala
 
Tanzania kuna vituko.

Yaani bank ya kimataifa inapata hasara ya bilioni 2 halafu unakuwa ni mjadala mkali kwenye mitandao. Really?

Hivi mtaji wa bank ni kiasi gani?

Mbaya zaidi wametoa mikopo kwa watu wenye biashara feki au kipato feki.
 
Namuunga Magufuli kwenye baadhi ya mambo, ila anafeli anapojaribu kucontrol pesa kwenye Mzunguko, cause kihualisia Bank binafsi na wananchi wanapesa nyingi kuliko fedha zilizopo Benki kuu
sasa mkuu tatizo liko wapi, maana wananchi wanalalamika hakuna fedha, wewe ume observe wanazo nyingi
 
Sasa ulitaka kwa mfano NHIF wawe na Revenue Account CitiBank wakati collection accounts zake zipo NMB halafu waongeze gharama za money transfer (interbank)? Ulitaka Revenue Account ya TRA iwe Stanbic wakati wanakuanya kodi hadi Namtumbo ambako hakuna Stanbic?
Hao Citibank serikali haina akaunti huko lakini mbona wanajiendesha vizuri na wanapata faida...CRDB waende CitiBank wakafundishwe jinsi ya kujiendesha bila kutegemea pesa za serikali...
 
Mabadiliko ya biashara hayawezi kusababisha mikopo kufutwa.....wanachoweza kufanya benki ni kumuongezea muda mkopaji au kupunguza kiwango cha marejesho mfano..badala ya kulipa 2M kila mwezi unapunguza mpaka labda 1M lakini mkopo uko pale pale.....
Je mkopo unaeeza kuongezea muda (Rescheduling)m
ara ngapi?
 
Sijakusoma. Kwamba industrial productionna na industrial productivity ni terminology zinazogongana au productivity na financial sytem yetu?

Na unaposema "easy access to the funds" unamaanisha nini mkuu? Maana study nyingi za masuala ya financial accessibility kwa nchi za SSA zinaonyesha tofauti. Au?
Productivity ni wezo watu kama taifa kuzalisha bidha zenye thamani ambazo tutaziuza aidha kama zilivyo au kwa kuongeza thamani mfano, Kilimo, madini, utalii, huduma, hata kuchoma maandazi. Industrial production ni bidhaa zinazo zalishwa viwandani zikiwa zimeongezewa thamani kama, simenti, mabati, bia, nguo..nk. Easy access to funds, ni mikopo yenye riba nafuu ambayo mfanyabiashara atakopa bila kuwa na woga wa kurudisha, kwamfano una kiwanda cha mbao na you want loan from the bank, the bank tells you will lead you the money but with interest of 25% utajikuta that is an expensive loan, lakini wakikwambi tutakupa but with an interest if 5% that will be a cheap loan.
 
Back
Top Bottom