Anguko la Mabenki nchini? CRDB yapata hasara ya Sh. Bilioni 2

Anguko la Mabenki nchini? CRDB yapata hasara ya Sh. Bilioni 2

Bwah! Bwah! Bwah! Yaani Kobello ni shida katika kizazi hiki....
Umenielewa eeh! Tehteh. Unajua uzuri au ubaya wa kuanguka kwa uchumi wakati mwingine ni kama mnapokuwa na gari linalovujisha maji (radiator failur) huku mna safari ya kwenda Mwanza. Unajipa tumaini itakufikisha japo morogoro; hatimaye inaenda kukuzimikia mwituni. Kila ukisimamisha magari kuomba msaada hawasimami kwani wanawaona nyie wezi.

Uchumi wetu una dalili zote za kuanguka, hili halina ubishi. Viashiria vyote vinaonyesha hivyo. Lakini tunaamini jamaa anaupangilia kisha utakaa sawa. Whaaat!

Hebu tujiulize, unadhani Zimbabwe hakuna wasomi wazuri? Wapo lakini na wao wakawa wanabishana hivi hivi kama sie. Hatimaye leo imebaki historia tu. Intervention kwenye masuala ya fedha inahitaji umakini mno, tena isifanyike kuonyesha ishara kwa watumiaji wakapata kutabiri future yao.
 
Ulivyo sema wewe, kama serikali ingepima madhara yake kabla ya maamuzi ....ni sawa kama unaendesha serikali kibinadamu. Lakini serikali haiwndeshwi kindugu au kibinadamu, serikali imsendeshwa kisheria. Hakuna nchi yoyote duniani inaweza kuruhusu mabenki ya kibiashara kuendeshwa kwa mtaji wa bure. Moja kati ya biashara ya benki ni kukopa na kukopesha. Nikupe Mfano mdogo, ungekuwa na kuku wa mayai, ukagunduwa jirani yako anakuibia mayai yako, ungempa muda wa kuendelea kukuibia kwasababu anawatoto wa kuwalisha na utamdhuru maisha yake? Au ungepigilia miumari haraka sana kuzuia asije tena kwenye banda lako? Sasa kitendawili hicho ndicho kilikwa huko kwenye mabenki. Na JPM hakuweza kuvumikia hata dakika nyingine moja wakati wanahisa wa mabenki wanalamba faida ya bure.
mfano wa wizi wa mayai hapa sio mahala pake,

benki hazikuwa zinaiba
 
Duh! We jamaa hamna kitu kabisa? Ina maana hadi leo hujawahi kusikia kwamba serikali inadaiwa kiasi hiki au kile na mifuko ya hifadhi ya jamii? Unahitaji kukumbushwa kwamba majengo yote ya serikali including UDOM na nyumba za Polisi pale Kilwa Road ni mkopo wa mifuko ya hifadhi ya kijamii kwa serikali? Unahitaji kukumbushwa kwamba pale Machinga Complex ambayo ilijengwa na NSSF, riba inazidi kuongezeka mwaka hadi mwaka kwavile serikali haijanza kulipa? Kama serikali haiwezi kukopa kwa riba; sasa kwanini gharama ya mkopo inapanda mwaka hadi mwaka?

Hii mada wewe ipo juu ya uwezo wako and no offense! Inawezekana you're the most genius and competent engineer in Africa but so long as hii mada ni ya kiuchumi zaidi, basi na u-genius wako kwenye uhandisi, kwa mada kama hii lazima utaongea voroja tu!
we unajiona genius lakini ni hewa tu.....Pesa za mifuko ya jamii ni pesa za wanachama sio pesa za NSSF wala serikali, ndio maana wanachama wanawadai....lakini pesa za TANESCO, TANAPA ni pesa za serikali 100% Umeshawahi kusikia TANESCO wanawadai serikali?
 
Tanzania bana.

Kila mtu ni mjuzi wa uchumi mpaka wengine wanapinga hata kinachoongewa na wataalam wa uchumi ambao wanafahamika kitaaluma.

Wale walisema half knowledge is worse than ignorance hawakukosea.
Kituko ni mtu kama wewe ambaye unakosoa kila mtu katika kila kitu .

Kuwa wewe ni mtaalamu wa kila kitu alichoagiza JPM na kuwa Wakati wote yupo sahihi. Ni kituko haswa
 
Ulivyo sema wewe, kama serikali ingepima madhara yake kabla ya maamuzi ....ni sawa kama unaendesha serikali kibinadamu. Lakini serikali haiwndeshwi kindugu au kibinadamu, serikali imsendeshwa kisheria. Hakuna nchi yoyote duniani inaweza kuruhusu mabenki ya kibiashara kuendeshwa kwa mtaji wa bure. Moja kati ya biashara ya benki ni kukopa na kukopesha. Nikupe Mfano mdogo, ungekuwa na kuku wa mayai, ukagunduwa jirani yako anakuibia mayai yako, ungempa muda wa kuendelea kukuibia kwasababu anawatoto wa kuwalisha na utamdhuru maisha yake? Au ungepigilia miumari haraka sana kuzuia asije tena kwenye banda lako? Sasa kitendawili hicho ndicho kilikwa huko kwenye mabenki. Na JPM hakuweza kuvumikia hata dakika nyingine moja wakati wanahisa wa mabenki wanalamba faida ya bure.
Sasa wewe ndugu yangu, hivi unajua industrial production na productivity yake ya nchi hii? How financial market is stable katika nchi hii? Hatua za kuingilia mfumo wa kifedha zilibainishwa katika hotuba ya kwanza kwa Bunge. Sasa jiulize, analysisau study gani iliyofanyika katika kipindi kifupi hicho hata kuweza kutoa statement ya namna ile. The Economist waliposema tunaendesha mambo kwa mizuka (gestures) tuliwaona wanatutusi. Sasa kiko wapi.
 
serikali ilikopa fedha katika mashirika ya pensheni ili ijenge UDOM,

sasa.kwa nini unafikiri ilikopa kama unasema pesa ni za serikali na mashirika ya pensheni ni ya serikali?
Mashirika ya pensheni hayana fedha, zile ni fedha za wanachama ndio maana serikali ilikopa
 
Kituko ni mtu kama wewe ambaye unakosoa kila mtu katika kila kitu .

Kuwa wewe ni mtaalamu wa kila kitu alichoagiza JPM na kuwa Wakati wote yupo sahihi. Ni kituko haswa
Kama ninakosoa kila mtu katika kila kitu, mbona wewe sijakukosoa?

Nadhani unasumbuliwa na inferiority complex!
 
Hapa kazi tu! Jamaa anahifadhi fedha za taasisi zake za serikali Benki Kuu ambayo kimsingi haifanyi biashara ya fedha Bali kusimamia monetary policy. Matokeo yake money circulation nchini imedorora, na commercial banks zinalazima kukopa Benki Kuu. Hii imesababisha interest rates against loans kupanda sana. Wakopaji wanashindwa kukopa, hivyo investments nazo kudorora. Kwa mwenendo huu kwa nini nchi isiingie kwenye recession! Tuendelee kuimba " Hapa kazi tu" kiushabiki lakini kwa bahati mbaya uchumi haujui "ushabiki"
In nchi IPI Pesa ya serikali jnakaa benki za biashara?
 
mfano wa wizi wa mayai hapa sio mahala pake,

benki hazikuwa zinaiba
Serikali ilikuwa inapoke riba ya kiasi gani kutikana na fedha zake kuwa kwenye mabenki ya kibiashara. Na hayo mabenki yakikopesha watu nje yanakutiza aslimia ngapi?
 
Taasisi bhana wakiwa wana submit report zitakazotumika na m amlaka za kodi wanaonyesha wanapata hasara au faida kiduchu, lakini hao hao wakiwa wanataka mikopo wanaonyesha wanapata faida kubwa, ukitaka mwanao awe jizi la kutupwa mruhusu abobee kwenye hii kada
Nmekuelewa mkuu
Kama wamepata hasara wanawaambia share holders hiyo hasara imetokana na nini? Bank zote zilikuwa zinafanya biashara na pesa za watu (mashirika ya umma nk.) Wacha waisome number wafanye shughuli za ki-bank sio kukaa na kungoja baraka ya kuwaibia walipa kodi. They need to change how they operate.
 
Benki zilizoea kukaa na mabilioni ya serikali na kuyafanyia biashara,zitafute mitaji yao
 
-THANK CRDB KWA KUWA WAWAZI../ TUNGOJE VILIO ZAIDI KUTOKA BANK NYINGINE ZAIDI YA 10+...
 
Wajuzi wa mambo naomba mtujuze hii private bank (CRDB) wame conceal profit to avoid Tax liability au kweli wame incur loss naomba TRA walifatilie hili huenda CRDB wame conceal profit for the quarter
Kwa hiyo huaminin kama kweli wamepata hasara? Kumbuka CRDB walikuwa na fedha nyingi za serikali ambazo wamenyang'anywa na kuhamishiwa BOT, so mtaji wao pia umepungua....
Kinachosikitisha ni bank ya Twiga kuzama na mtaji wa karibu bilioni mia na moja, fedha za depositors...
 
Sasa wewe ndugu yangu, hivi unajua industrial production na productivity yake ya nchi hii? How financial market is stable katika nchi hii? Hatua za kuingilia mfumo wa kifedha zilibainishwa katika hotuba ya kwanza kwa Bunge. Sasa jiulize, analysisau study gani iliyofanyika katika kipindi kifupi hicho hata kuweza kutoa statement ya namna ile. The Economist waliposema tunaendesha mambo kwa mizuka (gestures) tuliwaona wanatutusi. Sasa kiko wapi.
Wamepata hasara ya 2bn shs. Wewe unafikiri ni kwanini? Hilo ndio swali la mleta mada.

Mnapenda kuleta siasa katika kila kitu, hii hasara imepatikana kutokana na kuongezeka kwa gharama za uendeshaji. Siyo kukosekana kwa soko wala siyo kwa kupungua kwa cash deposits.

CRDB imepost almost 10% increase in income compared to the same quarter last year. Everything looks fine, I mean everything.

Come this year, third quarter salaries and benefits zime-jump kutoka 33bn to 48 bn (15bn increase in salaries and benefits).
Fees and commissions (coming from them) zimeongezeka by more than 8bn.

Other costs zimeongezeka by 6 bn from last year.

Total of 30bn shs zimeongezeka in costs, why?? That's the main question. Tatizo siyo kukosa biashara au mambo yenu ya kisiasa.
 
Serikali ilikuwa inapoke riba ya kiasi gani kutikana na fedha zake kuwa kwenye mabenki ya kibiashara. Na hayo mabenki yakikopesha watu nje yanakutiza aslimia ngapi?
kwa hiyo na wewe kampuni yako ikiweka fedha benki,ukasikia benki inatoa mikopo kwa wingi,na wewe huwa zinakuuma?kwamba fedha zako zinaipa faida benki
 
Machozi tena kwa Wenye hisa,kila siku Hisa za crdb zinazidi kuporomoka.Tumuuzie nami Hisa zetu??
 
Back
Top Bottom