Anguko la Mabenki nchini? CRDB yapata hasara ya Sh. Bilioni 2

Anguko la Mabenki nchini? CRDB yapata hasara ya Sh. Bilioni 2

Tanzania kuna vituko.

Yaani bank ya kimataifa inapata hasara ya bilioni 2 halafu unakuwa ni mjadala mkali kwenye mitandao. Really?

Hivi mtaji wa bank ni kiasi gani?

Mbaya zaidi wametoa mikopo kwa watu wenye biashara feki au kipato feki.
Na benki nyingine imeshidwa kuniendesha Totally wala watu hawangalia jinsi gani amana za wanachi zinavyopotea huko
 
Nafikiri tuipe muda wa kutosha serikali yetu.

Baadhi ya haya mabank yalizoea kufanya biashara na serikali yenyewe.

Kiasi kwamba wakawa hawataki kutoa mikopo kwa wajasilia mali, kwa kuwa biashara kubwa wanafanya na serikali yenyewe.

Nakumbuka Mh Rais alipiga marufu taasisi za serikali kupitisha kwenye mabank hovyo hovyo, mzigo uwe B.O.T tu.

Kwa sababu, uko kwenye mabank tofauti na B.O.T ndio kuna upigaji na utakatishaji mkubwa wa pesa.

Ni muda wa mabank kutoka njee ya Ofisi zao na kuwekeza kwa Wananchi

waliopo kwenye makundi na wenye kuitaji mikopo ili kuendeleza biashara zao.

Kama kulikuwa na wafanyakazi hewa, Trafick hewa, Waziri hewa, Polisi hewa mikataba, Lorge au Nyumba za kulala wageni hewa, na mpaka mke au mume hewa.

kwanini kusiwe na mabank hewa?

Tumuunge mkono Mh Rais kwasababu anajua anacho kifanya.

Haya mabank soon utaona riba zinashuka, na pia yatatoa mkopo mpaka kwa mtu wa chini bila dhamana, kwa sababu mchukuaji mkopo atakuwa kwenye mfumo lasimi wa kutamburika.

Tanzania muda si mrefu itakuwa Nchi yenye nguvu Afrika na watu watazamia kuja hapa Tanzania.

Chamsingi tutoe ushirikiano katika serikali yetu hasa pale kwa matukio yenye kuleta viashilia vya kuvunja Amani tuliyo nayo.
Uko sahihi mkuu....haya mabenki yalikuwa na masharti magumu sana kwa wajasiriamali wadogo....kumbe pesa za serikali ndio zinawapa jeuri...muda wao wa kwenda kwa wajasiriamali wadogo kwa masharti rafiki umefika.
 
Crdb ikipata hasara serikali inapata hasara pia kwa kodi ambayo ingekusanya. watu na taasisi zinapokuwa na hali ngumu serikali hupata hali ngumu pia.

Hili suala la serikali kuficha fedha zake BOT (na kusema watu wanaficha fedha) ni total madness.

Serikali itumie pesa zije kwenye mzunguko nayo ipate pesa na faida. no free lunch.
 
Bank kubwa Tanzania CRDB bank imepata hasara ya Sh Billion 2 katika hesabu zake za robo mwaka (Quarterly Financial Statements) Suala limenistua sana baada ya kuona Twiga Bancorc ilikua insolvent/ ilifilisika hivi karibuni.

Wajuzi wa mambo naomba mtujuze hii private bank (CRDB) wame conceal profit to avoid Tax liability au kweli wame incur loss naomba TRA walifatilie hili huenda CRDB wame conceal profit for the quarter

Taarifa za fedha zinaonesha kuwa mikopo mingi haijalipwa (underperforming Loans) lakini pia CRDB walikua wana accumulated tax/deni la kodi la muda mrefu.

Mwaka 2015 in 3rd quarter kama hii walipata faida ya Sh. 37.9 Billion after statutory deduction/Tax

Banking and Financial Institution
Act ya (2006) Section 32(3) inazitaka Taasisi hizo kuandaa taarifa za fedha.

Waliosoma Uhasibu kidogo mnaweza mkapitia Financial Statements (Balance sheet na Statement of Income Statement)

View attachment 426878
BOT WANATAKIWA KUWA MORE SERIOUS KWA VITU KAMA HIVI.
 
Hawa jamaa
Sh bilioni 2 si just under US $1 million?

Right?

Hizi ndizo hela za kuangusha benki?

Hiyo si deposit ya mtu mmoja tu benki?

Kama hizi figures ni kweli kwa benki kubwa kama CRDB, basi hali ya uchumi Tanzania ni mbaya kuliko nilivyokuwa nafikiri.

Mbaya sana tu.

Mpaka Magufuli ataisoma namba.
ni majizi makubwa kweli yaani billioni 2 wanataka watuaminishe kwamba ni hasara kubwa waache ujinga wao.
 
Wengi hapa manatarifa zisizo sahihi, siku zote katika nchi, mabenki ya kibiashara yanafanya kazi na serikali ili kuendeleza uchumi. Benki ya biashara haichapishi hela, inategemea hela toka benki kuu ya nchi kwa njia ya mkopo au ununuzi bond za serikali. Benki ya biashara hukopa kutoka benki kuu, kwa njia ya riba ya chini, na intumia fedha hiyo kukopesha watu wa kawaida, wafanyabiashara wakubwa kwa wadogo, bila kusahau makampuni pia. Mikopo hiyo inawekewa riba ilio juu kuliko ile ikiyo kopea benki kuu. Sisi tukilipa mokopo yetu, benki inakata cha juu na kurudisha ilichokopa benki kuu kama ilivyo kubaliana awali.

Sasa serikali nilivyo ondoa fedha zake za makusanyo na matumizi kutoka benki za biashara haikutakiwa kuathiri uwezo wa benki ya biashara kujiendesha kwasababi benki ya biashara bado inauwezo wa kukopa kutoka benki kuu na kutumia hiyo hela kuisambaza kwa wafanyabiashara ili na wao waweze kuendeza uchumi. Benki za biashara zililemaa na pesa rahisi ya serikali maana hawailipi riba, na wanaweza kutumia hela hiyo hiyo ya serikali kuwakopesha watu wengine tena kwa riba ile ile ya juu. Lakini mabenki yamekutwa katika wakati mgumu kwasababu hawakutarajia kama serikali itakata mrija wa fedha zake kwenye mabenki ya binafsi. Mabenki mengine hata mitaji yao ilikuwa imeswekwa kwenye biashara nyingine, na sio rahisi kurudisha hiyo hela haraka bila hayo mabenki kupoteza hela au kupata hasara.

Ni wakati wa mabenki kuwa wabunifu na kuja na product zingine ambazo zitavutia wateja kuingia kwenye milango yao ya benki na kufanya biashara kama ilivyokuwa siku za nyuma.
Kama mzunguko wa hela mtaani umedorora na biashara nyingi zinakufa na uhakiki wa watumishi haufiki mwisho,hizi benki zitamkopesha nani na kama biashara zinayumba,wafanyabiashara hawa watalipaje mikopo hiyo?
 
Vita Ni Mbinu
Bora Mtoto Wako Ashibe Halafu Aende Kucheza Kwa Jirani Wasikopika Chakula.
Serikali Inahakikisha Banks Binafsi Zinajifia Maana Zimeisumbua Kutakatisha Fedha Za Wizi
Nangoja Taarifa Ya Mkombozi Bank Nayo Wazee Wa Sanadarusi
Unamaanisha Stanbic?
 
Uko sahihi mkuu....haya mabenki yalikuwa na masharti magumu sana kwa wajasiriamali wadogo....kumbe pesa za serikali ndio zinawapa jeuri...muda wao wa kwenda kwa wajasiriamali wadogo kwa masharti rafiki umefika.

Sasa hivi pumba na mchele vinajitenga, hivyo ni wakati wako wa kumtazama Ruge na fulsa zake kwa jicho la tatu.

Jamaa namkubali sana, anajua kusoma ramani vizuri sana.

Na bado tutaona mengi, ila yote ni kheli kwetu Watanzania.

Mh Rais anapoongea naamini ni kweli ana amanisha.

Kwa mfano, hawamu zilizopita zilienda kutafuta wawekezaji njee wanao wajua wao, na mikataba ikasahiniwa uko uko juu kwa juu.

Leo mweshimiwa wa awamu ya tano kawa baba mzuri wa familia, kila kitu kinafanyika nyumbani kwake.

Mikataba kila kitu kinafanyika nyumbani na sio ugenini.

Hapo hujaona ushindi tu kwake? Sasa kwanini usimuombee?

Ni muda muhafaka kuachana na wanao tumiwa na Mazungu ili tuendelee kuburuzwa.
 
Nafikiri tuipe muda wa kutosha serikali yetu.

Baadhi ya haya mabank yalizoea kufanya biashara na serikali yenyewe.

Kiasi kwamba wakawa hawataki kutoa mikopo kwa wajasilia mali, kwa kuwa biashara kubwa wanafanya na serikali yenyewe.

Nakumbuka Mh Rais alipiga marufu taasisi za serikali kupitisha kwenye mabank hovyo hovyo, mzigo uwe B.O.T tu.

Kwa sababu, uko kwenye mabank tofauti na B.O.T ndio kuna upigaji na utakatishaji mkubwa wa pesa.

Ni muda wa mabank kutoka njee ya Ofisi zao na kuwekeza kwa Wananchi

waliopo kwenye makundi na wenye kuitaji mikopo ili kuendeleza biashara zao.

Kama kulikuwa na wafanyakazi hewa, Trafick hewa, Waziri hewa, Polisi hewa mikataba, Lorge au Nyumba za kulala wageni hewa, na mpaka mke au mume hewa.

kwanini kusiwe na mabank hewa?

Tumuunge mkono Mh Rais kwasababu anajua anacho kifanya.

Haya mabank soon utaona riba zinashuka, na pia yatatoa mkopo mpaka kwa mtu wa chini bila dhamana, kwa sababu mchukuaji mkopo atakuwa kwenye mfumo lasimi wa kutamburika.

Tanzania muda si mrefu itakuwa Nchi yenye nguvu Afrika na watu watazamia kuja hapa Tanzania.

Chamsingi tutoe ushirikiano katika serikali yetu hasa pale kwa matukio yenye kuleta viashilia vya kuvunja Amani tuliyo nayo.
Below are some microeconomic indicators you may likely to see when economy is about to collapse:-

1. Local businesses shutting down in large numbers

2. Prominent local businessmen/ proprietors and leaders leaving the area/country or engaging in other business-related activities;
3.Grocery stores and big-box stores bereft of necessities and inventory
4. Increased layoffs and unemployment notices across the country.

5. Your local commercil bank beginning to institute forms of rationing (loans) or checks and controls; all aimed to limit you to borrow more money;
5. An increasing amount of social unrest such as Panyaroads;
6. Cessation or severe curtailment of regular shipments of goods (food, gasoline, medicine)
7. Supermarkets and other retail stores sell more necessity goods than luxury ones;
8. Increased number of ads selling their short term assets (household items , cars, plots etc);
.....
 
Serikali kutunza fedha zake BOT ni sahihi kabisa maana one and traditional function of BOT is a " banker of the Government". hapa kuna tatizo kwny hzi commercial banks zetu.
Wamekuwa wakitoa mikopo kiholela kisha baadae hailipiki Na kusababisha hasara.
 
Hawa jamaa

ni majizi makubwa kweli yaani billioni 2 wanataka watuaminishe kwamba ni hasara kubwa waache ujinga wao.
Kilichotokea hapo huenda ni hasara kubwa zaidi ya bilioni 2.

Kwanza walikataa mizigo Bandarini kushuka kama sehemu ya kuanguka uchumi, wakasema ni mzunguko wa kawaida tu na sehemu ya kudhoofika kwa uchumi wa China (kama vile bandari yetu kutegemea sana uchumi wa China ni habari nzuri).

Leo wanasema CRBD imepata hasara ya bilioni 2. Mimi naona kama hasara ni kubwa zaidi. Hii bilioni 2 Charles Kilewo anaweza kuwapigia simu marafiki zake wachache wakampa akaiweka hapo wa break even halafu aiondoe biashara zikichanganya.

Ooops, nisianze kutoa siri wanavyofanya biashara.

Magufuli kawabana, Singili katoa siri. Hawana pa kukimbilia.

Tatizo kubwa zaidi, tuna rais anayetaka kubana uchumi zaidi ya kutuletea suluhisho la matatizo ya kiuchumi.
 
Hapa kazi tu! Jamaa anahifadhi fedha za taasisi zake za serikali Benki Kuu ambayo kimsingi haifanyi biashara ya fedha Bali kusimamia monetary policy. Matokeo yake money circulation nchini imedorora, na commercial banks zinalazima kukopa Benki Kuu. Hii imesababisha interest rates against loans kupanda sana. Wakopaji wanashindwa kukopa, hivyo investments nazo kudorora. Kwa mwenendo huu kwa nini nchi isiingie kwenye recession! Tuendelee kuimba " Hapa kazi tu" kiushabiki lakini kwa bahati mbaya uchumi haujui "ushabiki"
mkuu umechambua vizuri sana...sasa tumshauri raisi afanyeje kuhusu mabenki kufanya biashara na fedha za serikali..na kujipatia faida kubwa
 
Serikali kwa sasa ifanye development expenditures na Commercial Banks zikakope fedha kutoka BOT na ziendelee kununua hati fungani bila kutegemea gov't deposits.
 
Bank kubwa Tanzania CRDB bank imepata hasara ya Sh Billion 2 katika hesabu zake za robo mwaka (Quarterly Financial Statements) Suala limenistua sana baada ya kuona Twiga Bancorc ilikua insolvent/ ilifilisika hivi karibuni.

Wajuzi wa mambo naomba mtujuze hii private bank (CRDB) wame conceal profit to avoid Tax liability au kweli wame incur loss naomba TRA walifatilie hili huenda CRDB wame conceal profit for the quarter

Taarifa za fedha zinaonesha kuwa mikopo mingi haijalipwa (underperforming Loans) lakini pia CRDB walikua wana accumulated tax/deni la kodi la muda mrefu.

Mwaka 2015 in 3rd quarter kama hii walipata faida ya Sh. 37.9 Billion after statutory deduction/Tax

Banking and Financial Institution
Act ya (2006) Section 32(3) inazitaka Taasisi hizo kuandaa taarifa za fedha.

Waliosoma Uhasibu kidogo mnaweza mkapitia Financial Statements (Balance sheet na Statement of Income Statement)

View attachment 426878
Kwa ujumla katika Q3 pekee imepata faida ya 2.8 Billion.Kinachooneka (1.9)billion kama

Kwa ujumla katika Q3 pekee imepata faida ya 2.8 Billion.Kinachooneka (1.9)billion kama hasara ni ya Benki pekee bila kujumlisha subsidiaries companies zake. Hivyo Benki kwa ujumla katika Q3 imepata 2.8+ Billion.
Faida imekuwa ndogo kwa sababu ya provision ya bad loans of 38 Billion compared to 13 Billion during the same period 2015.
Lakini kwa ujumla katika kipindi cha miezi tisa Benki imepata faida ya 69 Billion.
Of course si ishara nzuri nzuri kwenye uchumi wetu kama madeni yanashindwa kulipika.
 
tatizo watanzania wanajiandikiaga tu bila kufanya research...

hivi citi bank anafikiri ni mchezo.

hata crdb na nmb ziungane na kujizidisha mara 100 ya mtaji wao wote.. hawawezi ifikia citi bank..

ni bank kubwa sana duniani hata standard chartered na baclays hawaifikii citi bank

CRDB ni benki ndogo sana, huwezi kuilinganisha na Citibank
 
Back
Top Bottom