Anguko la CHADEMA lipo njiani

Uko sahihi sana tulitegemea kiwe chama cha kuleta hoja za kustua serikali ya ccm kumbe ni waganga njaa tu wanakufa taratibu kifo kibaya
 

Toa habar za udaku hapa......Nya.....................mba........................fu
 
Sijahama, na usiniite Arawa sina asili ya Moshi wala Arusha mimi ni Msukuma, huwezi ukacheza mpira wa miguu ukafunga goli kwa mkono alafu ukajipongeza kwa kuwa refa kakubali na refa umemhonga au hukusoma Chuo ila ukapewa Shahada kama baadhi ya Viongozi wa CCM ambao hata historia ya Nchi hawaijui ila ni viongozi na wanavyeti vimechangamka mno... ukifuatilia waliposoma... wamesoma Bar na maofisa wa Elimu wizarani, wakatunukiwa vyeti Bar ila ni vya University, kama kweli mlikuwa na uwezo wa kupata 70%+ ya kura Kalenga, nini kiliwatuma kumtenda vile Mama Rose Kamili?? Tena waliomtenda nina hakika watakuwa umri sawa na watoto wake je? ndiyo ustaarabu wa CCM? na leo mnakuja kujisifu eti mmeshinda?..... HATARE?!
 
Ndo maana maisha ya kijamii yamekuahinda kumbe ni gamba mi nlituka tuu
 

Mkuu wanajua lakini wanjifariji tu.
 
Alipokua naibu katibu mkuu chama kilipata kura 3000 kalenga.Leo sio Naibu Katibu Mkuu tuna kura zaidi ya 5000 pamoja na hujuma zote

Tathmini za kujiliwaza hazina uhalisia hata kidogo; kwa maana hiyo Chadema mlishiriki uchaguzi na kumtumia chopa kwa gharama ya mamilioni ili mvune kura 5000?? Mkuu Ben Saanane wewe unaamika jamvini kama kijana msomi unapofanya analysis jaribu sana kuandika vitu vinavyokwenda sambamba na upeo/elimu yako, hizi tathmini za vijiweni mwachie yule msomi wa VETA Yericko Nyerere.
 
Last edited by a moderator:
Unasema chalinze walikoweka mtu asiyejua kusoma wala kuandika;
hivi hawa chadema sijui hata ni nani aliyewaroga, looooh.
Mamndenyi
Unakumbuka kile kibwagizo "tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu". Maandiko yanasema yoyote atumiaye jina la Mungu katika uovu laana ya Mungu itampata!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaa.. vipofu bwana, eti uchambuzi murua.. Hii kweli mahaba nitese. Mtasubiri sana hilo anguko na badala yake mtajikuta mnaanguka nyie..

Hata Mtei's Family wameshaona. We unaona Mkia wa Mbuzi unauliza kinyeo kiko wapi?
 

Kawaida yenu cdm kujiteka ili muonekane mnaonewa. Hilo la kutekwa ROSE KAMILI inawezekana ni mpango wenu ili mpate kisingizio. Muonekane mnaonewa kumbe mipango yenu so siwezi kulikubali 100% wala kulikataa, it is PROBABILITY
 
Kawaida yenu cdm kujiteka ili muonekane mnaonewa. Hilo la kutekwa ROSE KAMILI inawezekana ni mpango wenu ili mpate kisingizio. Muonekane mnaonewa kumbe mipango yenu so siwezi kulikubali 100% wala kulikataa, it is PROBABILITY

Umetoka kuhara choon bila ya kuchamba ndo maana nasikia harufu hapa, nakuuliza swal ww kanungu yeye, kama chadema tumejilipuwa cc wnyw mbona Rais wako yuko kimya? Kwann msiwashike viongoz, ndo maana makufananisha na kanungu yeye, kikwetu ni hunaakil
 

Dadangu,

Tumekusoma post/thread yako...na umeeleweka vizuri mno!

Pole saana kwa haya matusi na tashtit upewazo na hawa watoto wa Bavicha! Daah!

Usijali sana,maana najua ushawazoea! Tuko pamoja!

Ahsanta.
 
Husoma kwenyewe ndio huku? Unasoma halafu hujitambui? Basi ni majanga makubwa ndio maana hata nchi jirani wanatucheka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…