CHAMVIGA
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 7,687
- 2,240
Kweli mkuu;
Ngoja tumalizane naye, pengine wapo waliokuwa wanamdai marehemu huyu.
Teh teh teh mimi nimeshamalizana nao ila tupo katika maombolezo tu.

hata kama watu wnadhani kwamba CDM imeanguka, lakin ikumbukwe tu kwamba, bila CDM hakuna Tanzania yenye amani, na viashiria vya matumain kwa jamii, mnafurahia ushindi wa huyu kijana, lakin kumbuken unatengenezwa cycle of rullers , end of day they ll become dictators,then you ll know why its not right kwa baba, mama, mtoto kuwa wote wabunge.
Chadema hiyo ni adhabu kwenu kwa ajili ya ukabila.udini.ukanda
Kinachowamaliza ndio hiki;
hamjakomaa kisiasa;
hivi unafikiria kuwa naogopa matusi mimi?
Khaa! Banauzi unaeleweka vizuri na upo simpo. Wewe labda umelewa ama una matatizo ya kisaikologia ama unauelewa wa chini sana,, RIPSio lazima kupost, unaweza kuchangia kwa wenzako wanaopost kamba za kueleweka afu ukaongeza idadi za post na rep
power. Kamba haieleweki mamdenyi!! review
Assalamu Alaikum wana Bodi wote.
Hii kwa ajili ya watu wote wenye mapenzi mema na demokrasia ya hapa nyumbani.
CHADEMA kilikuwa na muonekano wa kuweza hata kuiongoza dola.Tatizo ni nini kimetokea kwa hawa watani zangu hadi kufikia hali hii.
Je, ni kwa ajili ya kuendesha chama kama kikundi cha dini?
Je, ni kwa ajili ya kumtosa yule mheshimiwa dogo wa kule kigoma?
Je, ni kwa ajili ya viongozi kungangania madarakani?
Au walijisahau wapi?
Najua kabisa watani zangu matusi ndiyo jadi yenu lakini ukweli utaendelea kusimama;
Nawasilisha.
ccm ni chama cha wahuni na washenzi wakubwa chadema hawezi kufa ccm ndo itakufaaaaa

Je, ni kwa ajili ya viongozi kung'ang'ania madarakani?