Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 16,227
- 22,841
Jiulize hapo halmashauri mtu anaweza kuiba pesa tuseme DEO anaweza kuiba pesa bila kumshirikisha DT na DED ??Walimu tunahangaika sana
. Tunaishi kwa kutegemea mshahara tu. Ukiiba boksi la chaki kinaumana shule nzima.
Wenzetu wanajichotea mabilions of cash.
Lakini mtu anaweza kupiga bil 45+ bila kuwa na mtandao ambao atagawa mgao?