Angalizo: Usitafute mchumba kanisani

Angalizo: Usitafute mchumba kanisani

Makanisa ya kilokolee ndo usime, one day nimeenda kwenye moja wapo ya hilo kanisa.
Aiseee acha kabisa kumbe wanawake na waume wanaosali pale 70% wana matatizo makubwa mengine ayafai kusimulia.
Mimi naona kuwa kuwa kama hao wanaokwenda hapo kanisani wana matatizo makubwa ni jambo jema. Kwa sababu Bwana wetu Yesu Kristo alisema njooni kwangu enye wote mnaoelemewa na mizigo. Mizigo yenyewe ndiyo hiyo, matatizo makubwa unayosema ambayo si ya kusimulia. Hapo ni kazi ya Mungu Roho Mtakatifu , anayashughulikia kupitia watumishi wake.
 
Watu wengi waliokosa wachumba hukimbilia kanisani kudhani kuwa mke bora au mke mwema hupatikana kanisani, lakini mke mwema hutoka kwa Mungu. Penye watu wawili au watatu Mungu yupo katikati yao.
Mkuu nakubaliana na wewe lakini naomba nikusahihishe kidogo, hapa duniani hakuna mwanamke mwema hata mmoja, kwa kifupi hakuna mtu mwema hata mmoja na hili alilisema YESU mwenyewe.... Ukimwomba MUNGU utapata mke mwenye "busara" na siyo mke mwema. Hata kwenye Biblia imeandikwa; "mke mwenye busara atoka kwa BWANA" Mithali 19:14
 
Makanisani ndio sehemu kwenye mafisi wengi wenye ngozi za kondoo.

Watu wengi waliokosa wachumba hukimbilia kanisani kudhani kuwa mke bora au mke mwema hupatikana kanisani, lakini mke mwema hutoka kwa Mungu. Penye watu wawili au watatu Mungu yupo katikati yao.

Makanisani watu ndio sehemu yao ya kutembeza ngoma, huko watu wanapigana mijeledi kinoma.
Waimba kwaya ni wazinzi kinoma.

Vijana ni wazinzi, wapigaji mizinga na matapeli kupindukia. Ukitaka mwenzi mwema, usiende kumtafuta kanisani, muombe Mungu akupe, naye atakupa kutoka kwenye hazina yake.

Huenda mkakutana kwenye daladala, au sehemu yoyote ile, usikate tamaa, Mungu ana jibu kwa wakati wake.

Ombeni bila kukoma.

Umeongea point nzuri sana na ukweli mtupu. Si kanisani tu hata misikitini....mwanamke au mwanamme mwema si LAZIMA awe mcha Mungu. Tapeli yeyote wa mapenzi awe mkristu au muislam akitaka anachokihitaji LAZIMA atajifanya mcha Mungu, ataimba sana kanisani, atasoma sana Qu'ran ili mradi tu aonekane na watu kuwa mcha Mungu. Dini inaficha wanafiki wengi sana.
 
Mkuu, umenikumbusha enzi ya miaka ya 90 katika sherehe za Idd Pemba na Unguja, tulishauriwa si vema kumtongoza msichana ukimkuta kwenye viwanja vya sherehe. Eti anakuwa na uzuri wa dukani.
Umechanganya madesa
 
Very true Mkuu, wengi wa watu wanaoenda kushinda makanisa hasa haya ya ulokole ni wanafki sana. Zamani nilikua nikimuona demu mkali anasali makanisa ya kilokole namkimbia najua amekwisha ungua anatafuta muujiza.
ha ha haha haaaa
 
nawe unayetaka mke mwema je wewe huu mwema? wewe unayetaka mme mwema je wewe huu mwema? ni ujinga kutafuta mchumba wakati huo bado unadumu katika uasherati. acha dhambi, kuwa mwema MUNGU atakupa chema tena hapohapo kanisa kwani moment unaanza kubadilika kuwa mwema na MUNGU anaanza kumbadili yule mbaya ndani ya kanisa na kuwa mwema, finally anawakutanisha
 
Kwani alikuwa na hoja gani? Naomba unijulishe tafadhli Mkuu.
kwa uelewa wangu naamini alimaanisha watu wasikimbilie kutafuta wenza makanisani kwa imani kuwa huko ndiko watu sahihi wanapoweza patikana pekee maana sio wote waendao huko ni wema!
 
Very true Mkuu, wengi wa watu wanaoenda kushinda makanisa hasa haya ya ulokole ni wanafki sana. Zamani nilikua nikimuona demu mkali anasali makanisa ya kilokole namkimbia najua amekwisha ungua anatafuta muujiza.

Duuuuh!
Kazi kweli kweli
 
Makanisani ndio sehemu kwenye mafisi wengi wenye ngozi za kondoo.

Watu wengi waliokosa wachumba hukimbilia kanisani kudhani kuwa mke bora au mke mwema hupatikana kanisani, lakini mke mwema hutoka kwa Mungu. Penye watu wawili au watatu Mungu yupo katikati yao.

Makanisani watu ndio sehemu yao ya kutembeza ngoma, huko watu wanapigana mijeledi kinoma.
Waimba kwaya ni wazinzi kinoma.

Vijana ni wazinzi, wapigaji mizinga na matapeli kupindukia. Ukitaka mwenzi mwema, usiende kumtafuta kanisani, muombe Mungu akupe, naye atakupa kutoka kwenye hazina yake.

Huenda mkakutana kwenye daladala, au sehemu yoyote ile, usikate tamaa, Mungu ana jibu kwa wakati wake.

Ombeni bila kukoma.
Kanisa ni nini? Samahani lakini.
 
Very true Mkuu, wengi wa watu wanaoenda kushinda makanisa hasa haya ya ulokole ni wanafki sana. Zamani nilikua nikimuona demu mkali anasali makanisa ya kilokole namkimbia najua amekwisha ungua anatafuta muujiza.
et miujiza dah!!
 
Ka yule dada mwimba kwaya aliyeenda guest akauwawa huko sasa mama mtu anaagwa na mtoto mama naenda guest sikazi eti sintarudi leo nimeenda kuanda mahari asubuhi tutaileta unaona

Umeongea ukweli
 
nawe unayetaka mke mwema je wewe huu mwema? wewe unayetaka mme mwema je wewe huu mwema? ni ujinga kutafuta mchumba wakati huo bado unadumu katika uasherati. acha dhambi, kuwa mwema MUNGU atakupa chema tena hapohapo kanisa kwani moment unaanza kubadilika kuwa mwema na MUNGU anaanza kumbadili yule mbaya ndani ya kanisa na kuwa mwema, finally anawakutanisha
Umenena vyema...uasherati ndio chanzo cha watu kukosa waume/wake wema
 
Back
Top Bottom