Angalizo: Usitafute mchumba kanisani

Angalizo: Usitafute mchumba kanisani

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,098
Reaction score
165,911
Makanisani ndio sehemu kwenye mafisi wengi wenye ngozi za kondoo.

Watu wengi waliokosa wachumba hukimbilia kanisani kudhani kuwa mke bora au mke mwema hupatikana kanisani, lakini mke mwema hutoka kwa Mungu. Penye watu wawili au watatu Mungu yupo katikati yao.

Makanisani watu ndio sehemu yao ya kutembeza ngoma, huko watu wanapigana mijeledi kinoma.
Waimba kwaya ni wazinzi kinoma.

Vijana ni wazinzi, wapigaji mizinga na matapeli kupindukia. Ukitaka mwenzi mwema, usiende kumtafuta kanisani, muombe Mungu akupe, naye atakupa kutoka kwenye hazina yake.

Huenda mkakutana kwenye daladala, au sehemu yoyote ile, usikate tamaa, Mungu ana jibu kwa wakati wake.

Ombeni bila kukoma.
 
Sehemu yeyote ile yenye mkusanyiko wa watu wengi ina watu wema na wabaya. Kwa hiyo mwandishi ungesema "kuweni makini mnavo tafuta wachumba makanisani"
Wako kinadada wazuri wanapatikana makanisani na wako kina dada wabovu kupindukia wanapatikana makanisani. Na hata wa mitaani ni hvo hivo.
*napenda kina dada wanao sali
 
Haswaaa,.palipo na wema,ubaya haukosi pia.
 
Ni kweli kabisa.,,,watu wengi huenda kanisani kutafuta wachumba.,lakini inahitaji umakini unaweza kujuta kuzaliwa.
 
Eeeh! Tena mbaya aliyepo kati ya wema anakuwaga nyoka mkubwa. Ni kuwa makini hoes are everywhere. Eti kwa kuwa mtu ni mnasali naye tuu basi ndio anafaa kuwa mke. Lazma ulie.

Ila mimi mwanamke anaye mpenda Mungu is a big plus kwa kweli.
Wadada wa biblia wapo hawawezi isha ila wanafichwa na hao wenye mingozi yao ya kondoo ndani chui...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Braza haiwezekani tunakupa like kwa kusema asee kwenye kila post.

Toa mawazo yako tujue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukiona hivyo ujue nimeacha alama ndugu zangu mkipita mjue na mimi nilishapita......

Ata nikiweka nukta wewe gonga like tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukiona hivyo ujue nimeacha alama ndugu zangu mkipita mjue na mimi nilishapita......

Ata nikiweka nukta wewe gonga like tu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Its like am wasting my energy kutoa like imeandikwa aseee!

Uwe unachangia tuone mawazo yako
 
Back
Top Bottom