Angalizo: Usitafute mchumba kanisani

Angalizo: Usitafute mchumba kanisani

Makanisa ya kilokolee ndo usime, one day nimeenda kwenye moja wapo ya hilo kanisa.
Aiseee acha kabisa kumbe wanawake na waume wanaosali pale 70% wana matatizo makubwa mengine ayafai kusimulia.

Matatizo gani?
 
Makanisani ndio sehemu kwenye mafisi wengi wenye ngozi za kondoo.

Watu wengi waliokosa wachumba hukimbilia kanisani kudhani kuwa mke bora au mke mwema hupatikana kanisani, lakini mke mwema hutoka kwa Mungu. Penye watu wawili au watatu Mungu yupo katikati yao.

Makanisani watu ndio sehemu yao ya kutembeza ngoma, huko watu wanapigana mijeledi kinoma.
Waimba kwaya ni wazinzi kinoma.

Vijana ni wazinzi, wapigaji mizinga na matapeli kupindukia. Ukitaka mwenzi mwema, usiende kumtafuta kanisani, muombe Mungu akupe, naye atakupa kutoka kwenye hazina yake.

Huenda mkakutana kwenye daladala, au sehemu yoyote ile, usikate tamaa, Mungu ana jibu kwa wakati wake.

Ombeni bila kukoma.
Nenda msikitini cyo kanisan
 
Tumesikia ushauri wako mkuu ila bado tunataka wa makanisani....pole inaonekana ulishindwa....hao hao wa makanisani na unafiki wao ndo tunataka kuwaoa...kama hupendi lia😛
 
Yaaani wewe umeongea vizuri sana "maisha ya ndoa acha kabisa
 
waimba kwaya vijana mkutane pembeni ya ofisi ya parish worker.
By uongozi wa vijana
 
Watu tuu hawajaelewa huko pia huenda wale watu waliochoka na wenye shida mbalimbali kwani kwao MUNGU ndio huwa kimbilio la mwisho.
Manabii wa uongo na wahuni wapo huko kama maandiko yanavyotanabahisha (Fake pastors n.k)

Kwa mentality iliyojengeka vichwani mwa watu inabidi watambue hasara na faida za huko japo sikatai kwamba watumishi wa MUNGU wapo wa kweli.
Mtangulize MUNGU katika yote.
 
Kiufupi....Kanisani/Msikitini ni sehemu za kumuomba mungu upate mke mwema....lakini sio sehemu ya kutafuta mke....NADHANI WACHACHE NDO WATANIELEWA NACHOMAANISHA
 
Upo sahihi,ila hao wanakwaya hizi kashfa za uzinzi wanatupiwa sana sijui kwa nini
 
Mkuu nakubaliana na wewe lakini naomba nikusahihishe kidogo, hapa duniani hakuna mwanamke mwema hata mmoja, kwa kifupi hakuna mtu mwema hata mmoja na hili alilisema YESU mwenyewe.... Ukimwomba MUNGU utapata mke mwenye "busara" na siyo mke mwema. Hata kwenye Biblia imeandikwa; "mke mwenye busara atoka kwa BWANA" Mithali 19:14
Kuna version za Bible zimeandika mke mwema
 
Vipi wale wa ushungi, hojab, burkha etc! Nasikia wale nao wengi ni mafirauni wa kutupwa.
 
Back
Top Bottom