Angalizo: Usitafute mchumba kanisani

Angalizo: Usitafute mchumba kanisani

Kuna Dem wangu mmoja church girl tukaja kuachana badae tukarudiana ila machale yakanicheza nikasema tupime kwanza eee kupima kipimo Cha kwanza kikasoma kasha unasa akawa anakataa nikaleta Cha pili imoo church girl kashaunasa tyari alipiga ukunga pale hotelin Nika Anza kubembeleza nikmsihi aende hospital kwa vipimo Zaid.

Aliempa mdudu Ni kwaya master.

Namuamin Mungu Sana Sana ila kanisan siwezi kwenda kule Kuna mafisi na wanafiki wengi chumbani kwangu ndo kanisan.
 
Kuna mmoja nilimnyandua, na kila nikipiga simu nasikia kwaya kanisani ikiimba. Kule masingo mother kibao. Wanakizalishwa kimasihara hujifichia church
 
Wanawake wa kanisani ndo hao hao wapo mitaani, maofisini, kwenye nyumba za starehe n.k. Hakuna jamii ambayo yenyewe inakula na kulala kanisani. Kanisani ni ibada halafu watu wanarudi kwenye mihangaiko. Yule aliyetembea na kiongozi wa kwaya ndo huyo huyo utakutana nae kwenye kibanda cha mpesa. La muhimu ni kuomba usiangukie kwa Malaya bila kujali eneo ulilokutana naye.
 
Ndio utakuta mwanamke ametembeza weee sahizi kakosa soko anashinda kutafta mume kanisani!!
 
Wanawake wa kanisani ndo hao hao wapo mitaani, maofisini, kwenye nyumba za starehe n.k. Hakuna jamii ambayo yenyewe inakula na kulala kanisani. Kanisani ni ibada halafu watu wanarudi kwenye mihangaiko. Yule aliyetembea na kiongozi wa kwaya ndo huyo huyo utakutana nae kwenye kibanda cha mpesa.
Lkn huku mtaani wanatawanyika Kwa Hesabu za probability tunaitaje hii ..
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Wanawake wa kanisani ndo hao hao wapo mitaani, maofisini, kwenye nyumba za starehe n.k. Hakuna jamii ambayo yenyewe inakula na kulala kanisani. Kanisani ni ibada halafu watu wanarudi kwenye mihangaiko. Yule aliyetembea na kiongozi wa kwaya ndo huyo huyo utakutana nae kwenye kibanda cha mpesa. La muhimu ni kuomba usiangukie kwa Malaya bila kujali eneo ulilokutana naye.
Tatizo kwaya master hapo yeye sio Malaya. Malaya ni binti wa watu. Wanaume sisi bana
 
Vijana ni wazinzi, wapigaji mizinga na matapeli kupindukia. Ukitaka mwenzi mwema, usiende kumtafuta kanisani, muombe Mungu akupe, naye atakupa kutoka kwenye hazina yake.
Kuna jamaa alikuwa anaimba kwaya mpaka anagaagaa sakafuni na kutokwa jasho, akajitokeza mfadhili akampeleka kusomea uchungaji, kufika kule akawa mwimbaji mara dufu, mwanafunzi mwenzake wa kike ukatamani, kijana akatenda dhambi na mafunzo yakaishia pale
 
Lkn huku mtaani wanatawanyika Kwa Hesabu za probability tunaitaje hii ..
Mkuu Putin1, ukiachana na wapitaji wanawake mkoani pale ulipo ni wale wale. Probability ya kukutana na mwanamke mtaani ambaye ni muumini wa kanisa/msikiti ndani ya mkoa husika ni kubwa tu.
 
Kuna jamaa alikuwa anaimba kwaya mpaka anagaagaa sakafuni na kutokwa jasho, akajitokeza mfadhili akampeleka kusomea uchungaji, kufika kule akawa mwimbaji mara dufu, mwanafunzi mwenzake wa kike ukatamani, kijana akatenda dhambi na mafunzo yakaishia pale
Shetani Akita kuharibu destiny Yako anakuletea mwanamke
 
Tatizo kwaya master hapo yeye sio Malaya. Malaya ni binti wa watu. Wanaume sisi bana
Kwaya master ni malaya ila Jamii yetu imempa kazi mwanamke ya kulinda heshima ya jamii ndo maana kiutaratibu jibu la mwanamke linatakiwa kuwa moja tu,

"Unanitaka? Nenda nyumbani kwetu wakufahamu tufunge ndoa."
 
Makanisani ndio sehemu kwenye mafisi wengi wenye ngozi za kondoo.

Watu wengi waliokosa wachumba hukimbilia kanisani kudhani kuwa mke bora au mke mwema hupatikana kanisani, lakini mke mwema hutoka kwa Mungu. Penye watu wawili au watatu Mungu yupo katikati yao.

Makanisani watu ndio sehemu yao ya kutembeza ngoma, huko watu wanapigana mijeledi kinoma.
Waimba kwaya ni wazinzi kinoma.

Vijana ni wazinzi, wapigaji mizinga na matapeli kupindukia. Ukitaka mwenzi mwema, usiende kumtafuta kanisani, muombe Mungu akupe, naye atakupa kutoka kwenye hazina yake.

Huenda mkakutana kwenye daladala, au sehemu yoyote ile, usikate tamaa, Mungu ana jibu kwa wakati wake.

Ombeni bila kukoma.
Huyo mnayekutana kwenye daladala Jumapili huwa kanisani ujue
 
Kuna jamaa alikuwa anaimba kwaya mpaka anagaagaa sakafuni na kutokwa jasho, akajitokeza mfadhili akampeleka kusomea uchungaji, kufika kule akawa mwimbaji mara dufu, mwanafunzi mwenzake wa kike ukatamani, kijana akatenda dhambi na mafunzo yakaishia pale
Hakupaswa kiacha bali kuanza upyAa
 
Makanisani ndio sehemu kwenye mafisi wengi wenye ngozi za kondoo.

Watu wengi waliokosa wachumba hukimbilia kanisani kudhani kuwa mke bora au mke mwema hupatikana kanisani, lakini mke mwema hutoka kwa Mungu. Penye watu wawili au watatu Mungu yupo katikati yao.

Makanisani watu ndio sehemu yao ya kutembeza ngoma, huko watu wanapigana mijeledi kinoma.
Waimba kwaya ni wazinzi kinoma.

Vijana ni wazinzi, wapigaji mizinga na matapeli kupindukia. Ukitaka mwenzi mwema, usiende kumtafuta kanisani, muombe Mungu akupe, naye atakupa kutoka kwenye hazina yake.

Huenda mkakutana kwenye daladala, au sehemu yoyote ile, usikate tamaa, Mungu ana jibu kwa wakati wake.

Ombeni bila kukoma.
1 Jumapili
2. Msibani
3. Sikukuu

Siyo siku nzuri za kutafuta mke utapigwa.
 
Kwenye daladala unamkuta katika uchakaramu wake
Mbona Isaya aliambiwa na Mungu akaoe mwanamke mzinzi?
Katika Mungu kuna siri nzito sana.
Mjomba wangu alioa mwanamke barmaid.. huwezi amini alitulia tuli na baadae akaws bonge na mtumishi akisimama kuhubiri lazima utoke mbele ukatubu.
Siliza Bujibuji Simba Nyamaume

1. Kuna wanawake malaya kutokana na
Kukosa imani na wanaume wote
baada ya kutendwa na aliyewaamini

2. Wapo malaya kwa kuzidiwa na taabu za dunia.

Note; Mwansume ukiwa smart kichwani unaweza kumtuliza mwanamke na kusuka ubongo wake kwa upya na akawa mke su kiumbe bora kabisa.

Nina uzoefu mdogo katika hili
 
Back
Top Bottom