Angalizo: Usitafute mchumba kanisani

Angalizo: Usitafute mchumba kanisani

Makanisani ndio sehemu kwenye mafisi wengi wenye ngozi za kondoo.

Watu wengi waliokosa wachumba hukimbilia kanisani kudhani kuwa mke bora au mke mwema hupatikana kanisani, lakini mke mwema hutoka kwa Mungu. Penye watu wawili au watatu Mungu yupo katikati yao.

Makanisani watu ndio sehemu yao ya kutembeza ngoma, huko watu wanapigana mijeledi kinoma.
Waimba kwaya ni wazinzi kinoma.

Vijana ni wazinzi, wapigaji mizinga na matapeli kupindukia. Ukitaka mwenzi mwema, usiende kumtafuta kanisani, muombe Mungu akupe, naye atakupa kutoka kwenye hazina yake.

Huenda mkakutana kwenye daladala, au sehemu yoyote ile, usikate tamaa, Mungu ana jibu kwa wakati wake.

Ombeni bila kukoma.
noted
 
Mmh
 
Trend word 2018; watu wanapigana mijeredi
 
Mimi sikubaliani na hoja hii.

Kanisani ni sehemu mwafaka kwa mkristo kuongea na Mungu. Kuongea na Mungu ni pamoja na kuabudu, kusali, kutukuza, kusifu, kuomba n.k. Kama mke mwema anatoka kwa Mungu, inabidi mkristo aongee na Mungu ili Mungu ampe huyo mke mwema. Moja ya njia ya kuongea na Mungu ni kuomba. Hivyo mkristo anayehitaji mke humwomba Mungu. Kwa hiyo kanisani ni sehemu maalumu iliyokubalika kufanya maombi ingawaje mkristo anaweza kufanya maombi yake nje/mbali na kanisa.

Hakuna haja ya kuwa na shaka maadamu mke mweka hutoka kwa Mungu hakuna sababu ya kuhofu kupata kitu kibaya kutoka kwake. Kwa kuwa kanisani kuna wabaya na wema kwa jinsi ilivyo hakana haja ya kuhofu kuwa mwombaji atapata 'watembeza ngoma', 'wanaopigana mijeledi', vijana wazinzi, 'wapigaji mizinga', matapeli wa kupindukia n.k.

Lakini pia ni vizuri kujihoji. Je, kama mimi ninataka/ninapenda mke mwema, mimi ni mwema? Ni vizuri huyo mke mwema ninayemuomba nimtayarishie mazingira ya wema. Inawezekana sipato mke mwema kwa sababu mimi si mwema.
Mkuu Umemaliza... Hekima iliyoshiba
 
Mkuu upo sahihi... Watu hawajui kuwa Kila binadamu Ana matatizo na kwamba hii Dunia ndivyo ilivyo na Kila mwenye tatizo anahangaika kutafuta Msaada..
Mimi naona kuwa kuwa kama hao wanaokwenda hapo kanisani wana matatizo makubwa ni jambo jema. Kwa sababu Bwana wetu Yesu Kristo alisema njooni kwangu enye wote mnaoelemewa na mizigo. Mizigo yenyewe ndiyo hiyo, matatizo makubwa unayosema ambayo si ya kusimulia. Hapo ni kazi ya Mungu Roho Mtakatifu , anayashughulikia kupitia watumishi wake.
 
Nani aliwambia wanawake wa kuoa wanapatikana kwenye nyumba za ibada? Nyumba za ibada ni sehemu ya kuabudu na sio dating sites.

Si kila mtu mwema ni mtu sahihi.
 
On
Makanisani ndio sehemu kwenye mafisi wengi wenye ngozi za kondoo.

Watu wengi waliokosa wachumba hukimbilia kanisani kudhani kuwa mke bora au mke mwema hupatikana kanisani, lakini mke mwema hutoka kwa Mungu. Penye watu wawili au watatu Mungu yupo katikati yao.

Makanisani watu ndio sehemu yao ya kutembeza ngoma, huko watu wanapigana mijeledi kinoma.
Waimba kwaya ni wazinzi kinoma.

Vijana ni wazinzi, wapigaji mizinga na matapeli kupindukia. Ukitaka mwenzi mwema, usiende kumtafuta kanisani, muombe Mungu akupe, naye atakupa kutoka kwenye hazina yake.

Huenda mkakutana kwenye daladala, au sehemu yoyote ile, usikate tamaa, Mungu ana jibu kwa wakati wake.

Ombeni bila kukoma.
Onpoint ujakosea wapiga vinanda wanatia kweli dada zetu mimba
 
Back
Top Bottom