Mbona Isaya aliambiwa na Mungu akaoe mwanamke mzinzi?
Katika Mungu kuna siri nzito sana.
Mjomba wangu alioa mwanamke barmaid.. huwezi amini alitulia tuli na baadae akaws bonge na mtumishi akisimama kuhubiri lazima utoke mbele ukatubu.
Siliza
Bujibuji Simba Nyamaume
1. Kuna wanawake malaya kutokana na
Kukosa imani na wanaume wote
baada ya kutendwa na aliyewaamini
2. Wapo malaya kwa kuzidiwa na taabu za dunia.
Note; Mwansume ukiwa smart kichwani unaweza kumtuliza mwanamke na kusuka ubongo wake kwa upya na akawa mke su kiumbe bora kabisa.
Nina uzoefu mdogo katika hili