😉Ushauri mzuri sana
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] ukweli usio na shakaMakanisani ndio sehemu kwenye mafisi wengi wenye ngozi za kondoo.
Watu wengi waliokosa wachumba hukimbilia kanisani kudhani kuwa mke bora au mke mwema hupatikana kanisani, lakini mke mwema hutoka kwa Mungu. Penye watu wawili au watatu Mungu yupo katikati yao.
Makanisani watu ndio sehemu yao ya kutembeza ngoma, huko watu wanapigana mijeledi kinoma.
Waimba kwaya ni wazinzi kinoma.
Vijana ni wazinzi, wapigaji mizinga na matapeli kupindukia. Ukitaka mwenzi mwema, usiende kumtafuta kanisani, muombe Mungu akupe, naye atakupa kutoka kwenye hazina yake.
Huenda mkakutana kwenye daladala, au sehemu yoyote ile, usikate tamaa, Mungu ana jibu kwa wakati wake.
Ombeni bila kukoma.
Nini maana ya kanisa? Labda unifafanulie kulingana na hayo Maelezo yakoMakanisa ya kilokolee ndo usime, one day nimeenda kwenye moja wapo ya hilo kanisa.
Aiseee acha kabisa kumbe wanawake na waume wanaosali pale 70% wana matatizo makubwa mengine ayafai kusimulia.
mkusanyiko wa watuNini maana ya kanisa? Labda unifafanulie kulingana na hayo Maelezo yako
thanks[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] ukweli usio na shaka
Wanaume Na Wanawake hawakutani msikitini Wala hawaonaniIla wanaopatikana misikitini wote ni wema..
Hongeramkusanyiko wa watu
Kwani alikuwa na hoja gani? Naomba unijulishe tafadhli Mkuu.nadhani hujamuelewa sawia mleta mada