Angalia Wasiojulikana wanavyosumbua Dereva wa Basi.

Angalia Wasiojulikana wanavyosumbua Dereva wa Basi.

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
26,662
Reaction score
59,101
Basi imebeba abilia, lakini mtu anaamua kuifanyia fujo Basi yenye abiria. Mbaya zaidi anatoa Bastola ili ampige risasi Dereva.

Wasiojulikana wametamalaki. Trafiki hata ulipoti hawanyi chochote..

Sasa kuna watu wapo Juu ya Sheria

Angalia anavyofanya fujo ili Basi ipate ajali. Au Majini yao yamewatumia damu za watu?

NB: Ni barabara ya Mombasa
 
Basi imebeba abilia, lakini mtu anaamua kuifanyia fujo Basi yenye abiria. Mbaya zaidi anatoa Bastola ili ampige risasi Dereva.

Wasiojulikana wametamalaki. Trafiki hata ulipoti hawanyi chochote..

Sasa Tanzania kuna watu wapo Juu ya Sheria

Angalia anavyofanya fujo ili Basi ipate ajali. Au Majini yao yamewatumia damu za watu?
View attachment 3524935
Duh🥺🥺🥺 tumefikia huku kweli!?
 
Nini kilitokea?
mlimtishia Maisha yake? Maana mpaka mtu anafanya hivyo kuna kitu
Kwa nini unasema wasiojulikana?
Kwa nini isiwe tu mfanyabiashara wa madini mwenye silaha?
Vyovyote vile tuepukane na Road Rage hazina faida, akimwaga Ubongo hapo watu wataishia kuongea na Maisha yameenda.
 
Acha upumbavu wewe
ndio nyinyi mnaoshabikia medereva wakimbize basi na kuwauwa kama kuku
Hao watakuwa walimuona anavyoendesha basi kipumbavu
Wewe hebu kuwa na akili hata kidogo asee hivi kama dereva anakimbiza basi ndio apigiwe risasi? Nitajie hiyo sheria ni ya wapi na imeanza kutumika lini,

Hata kama tumechagua kushabikia upande fulani( hukatazwi) ila wanapokosea usisite kuonya ,

Ni vipi kama dereva angeingia woga na kuangusha basi hao unaowatetea wangejibu walikua wanaokoa abiria?

Kuna vitu vya kutetea ila sio hilo tukio ni la kishenzi sana sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom