Mwana parokia
JF-Expert Member
- Sep 27, 2023
- 1,183
- 2,055
Huyu bodaboda ni mpuuzi !!IPO siku atakumbuka akiwa amechelewa.Boda mmoja akaniambia yeye hawezi kujihusisha na maandamano kwa sababu vitu vinavyoendelea havimuhusu.
Kauli yangu ilikuwa moja tu, kwamba tukiruhusu hii serikali iendelee kuna siku nitapanda boda yako, nitatoa bastola nikikwambia sikulipi na huna cha kunifanya
Sasa hivi ukimpeleka mgonjwa hospitali ya Serikali utaelewa